CHADEMA wanafurahia sana misururu ya watu wanapopita mijini. CCM wao wanajijenga mashinani na hawana mbwembwe

Mganguzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2022
Posts
1,604
Reaction score
3,715
Hiyo ndio hali halisi niliyoiona kwa CHADEMA, misafara yao wanapoingia mijini hupokelewa na mapikipiki na kila aina ya mikwara wenzao CCM wanajijenga vijijini huko kuna vikosi vinapita!

Ninyi jidanganyeni na hizo nyomi!
 
Kwahivyo hiyo misururu ya Watu ni kazi bure?!
 
Hiyo ndio hali halisi niliyoiona kwa CHADEMA, misafara yao wanapoingia mijini hupokelewa na mapikipiki na kila aina ya mikwara wenzao CCM wanajijenga vijijini huko kuna vikosi vinapita!

Ninyi jidanganyeni na hizo nyomi!
Ila wabongo🤣🤣🤣🤣cjui lipi jema kwao!! Kwahiyo misururu haitakiw tena 😂😂😂, kwahiyo CDM hawajijeng kweny mashina yao?
 
wanazi wengi wa CCM hapa ndo wanamkumbuka mwendazake. Maana wanaumia sana kuona upinzani wanaruhusiwa kufanya mikutano.....
 
Hiyo ndio hali halisi niliyoiona kwa CHADEMA, misafara yao wanapoingia mijini hupokelewa na mapikipiki na kila aina ya mikwara wenzao CCM wanajijenga vijijini huko kuna vikosi vinapita!

Ninyi jidanganyeni na hizo nyomi!
Mijini kuna waelewa ndio maana ccm wanaogopa. Vijijji wakiamka watawaendea maanyani na tummbili msituni na uwe mwishho wao
 
Back
Top Bottom