Uchaguzi 2020 CHADEMA wanajipa matumaini hewa

Halafu, ni vizuri watu kujipa matumaini kwa nia na malengo mbalimbali ikiwa ni pamoja na kujifariji! Hicho ndicho wanacho fanya CHADEMA na ACT - Wazalendo ingawa mimi nawaita ACT - Wananchi! Kuwa Mzalendo unafanya mchezo nini! Na mimi kwa utabiri wangu nasema hata 20% hawapati! Subiri utaona.
 
Huyo Mgombea wako umempitisha kashindana na kina nani?au hamna uchaguzi sisiem
Kwanini watu wanamtaja Tundu lisu kuwa ndio mgombea mkuu wa Chadema kwani chama chake kimempitisha au Hakuna uchaguzi wa ndani wa chama?
 
Umeandika sawa ila kuna mambo umeyaacha maksudi.

1. Msaada wa tume ya uchaguzi hasa returning officers utam favor Magufuli
2. Vyombo vya usalama , polis na TISS wata suppress sana kampeni za upinzani, upinzani watadakwa, tekwa na kuumizwa sana ikiwemo kuuliwa ili kuwakatisha tamaa
 
Mkuu kujipa matumaini ni jambo la kawaida katika ushindani wowote ule, huwezi kuingiza timu uwanjani halafu utangaze kuwa unaenda kufungwa, au labda ulitaka wasishiriki kabisa?
 
Mkuu kama hayo yote uliyosema yana ukweli pasi na shaka, basi ccm wasingekuwa wanaogopa kuweka tume huru au kuwaogopa Chadema kama wanavyowaogopa kwa sasa. Wakundi unayoyaona yanaunga mkono jua ni kwasababu yakiwa upande mwingine yanafanyiwa figisu mbaya sana, hivyo hayana budi kufanya unafiki. Ila kosa kubwa moja tu ni pale ccm wakikubali tume huru, hapo ndipo utauona ukweli ila kwa sasa sidhani kwani hakuna anayependa kufilisiwa/kitekwa/kuuwawa na figisu zingine zote uzijuazo
 
Umeandika mambo mengi wakati huwa mnapata msaada toka kwa Tume feki ya uchaguzi, na jeshi la polisi; hayo yote uliyoandika hayana maana.
Hicho kichaka mnachojifichaga kitafyekwa tu
 
Ni mwendawazimu tu anae weza kuamini chadema itashinda uchaguzi
 
Chadema wanakwenda angukia pua msimu huu hahahhaaha
 
Hapo nimetoa maoni yangu kuhusu uchaguzi utavyokuwa na nikatoa sababu za kwanini Naona Magufuli atashinda na wewe unaruhusiwa kutoa mtazamo wako ndio demokrasia ilivyo ndio hivyo.
Wewe kwa akili yako unaona kwamba ingekuwa vema kama Chadema wasingeshiriki kabisa uchaguzi kwa vile CCM ina nguvu sana.
 
Hata kipindi Cha miaka ya ukoloni mambo yalikuwa hivyo hivyo na Wana TANU walikuwa Kama hao CHADEMA unaowasema
 
Yaani anajifanya hajui kuwa nyenzo ya CCM kwenye uchaguzi ni hii
 
Kwani hawajui basi tu hii ni sawa kuku jike anataka lakini hakubali kirahisi mpaka ampe tabu kidogo jogoo
 
Iwapo mgombea wa cdm atakuwa mmoja wa hawa,basi cdm hawawezi kupata hata 2% ya kura zote
 
Me Nimezungumzia kitaaluma wewe unataka kujifichia kwenye kichaka Cha polisi
 
Unafikiri chama kinashinda kwasababu ya wasanii? Sielewi kwanini mnapenda ccm iendelee kubaki madarakani hata baada ya miaka 60 ya umaskini mkubwa Tz.
 
Unafikiri chama kinashinda kwasababu ya wasanii? Sielewi kwanini mnapenda ccm iendelee kubaki madarakani hata baada ya miaka 60 ya umaskini mkubwa Tz.
Mzee hapa nimechambua kutokana na siasa ilivyo sio kwasababu ya hisia zangu hatuwezi kumezeshana uongo wahati ukweli unaonekana.Kuhusu kupenda au kutopenda kwa CCM kuendelea madarakani nazani hiyo ipo kwa wafia chama hata hao chadema unao wahabudu sioni wanatofautiana Nini na CCM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…