J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 97,869 Reaction score 171,716 Sep 19, 2022 #1 Chadema walijipendekeza kwa Dr Ruto wakati wa kampeni wakijinasibu kwamba anafanana sana na Tundu Lissu. Lakini Wakenya wenyewe wanadai wamemchagua Ruto kwa sababu ni Mkweli tena ana hofu ya Mungu kama hayati Magufuli. Ufipa st sasa wamepigwa butwaa
Chadema walijipendekeza kwa Dr Ruto wakati wa kampeni wakijinasibu kwamba anafanana sana na Tundu Lissu. Lakini Wakenya wenyewe wanadai wamemchagua Ruto kwa sababu ni Mkweli tena ana hofu ya Mungu kama hayati Magufuli. Ufipa st sasa wamepigwa butwaa
Magonjwa Mtambuka JF-Expert Member Joined Aug 2, 2016 Posts 32,246 Reaction score 31,176 Sep 19, 2022 #2 Tangu lini Dr. Ruto alijipiga risasi za matakoni kama huyo Lisu? Hawa Chadema hawajielewi.
Nzie ya Mana JF-Expert Member Joined Aug 23, 2020 Posts 1,515 Reaction score 1,730 Sep 19, 2022 #3 Magonjwa Mtambuka said: Tangu lini Dr. Ruto alijipiga risasi za matakoni kama huyo Lisu? Hawa Chadema hawajielewi. Click to expand... Wewe ni mbwa, rubbish kabisa! Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Magonjwa Mtambuka said: Tangu lini Dr. Ruto alijipiga risasi za matakoni kama huyo Lisu? Hawa Chadema hawajielewi. Click to expand... Wewe ni mbwa, rubbish kabisa! Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Magonjwa Mtambuka JF-Expert Member Joined Aug 2, 2016 Posts 32,246 Reaction score 31,176 Sep 19, 2022 #4 Nzie ya Mana said: Wewe ni mbwa, rubbish kabisa! Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app Click to expand... Hata ukiniita mbwa haisaidii kabisa. Lijamaa lako limejiripuwa risasi za matakoni halafu limekimbilia ubelgijiš¤£
Nzie ya Mana said: Wewe ni mbwa, rubbish kabisa! Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app Click to expand... Hata ukiniita mbwa haisaidii kabisa. Lijamaa lako limejiripuwa risasi za matakoni halafu limekimbilia ubelgijiš¤£