Chadema ipo ICU na ijumaa ndiyo inajulikana kama inapona au inafariki[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukifanya hivyo ndio chadema ina imarika?
HahahaaaChadema ipo ICU na endapo hawatawavua uanachama hao watumwa wa kike waliouzwa Bungeni kienyeji kwa njia haramu za kishetani watambue kuwa chadema inafariki ijumaa na ndiyo mwisho wake kwani hakuna Mtanzania mwenye Akili timamu atasalia chadema tena watabakiwa na mazezeta kwani hakuna mtu anaupenda upumbavu huo
Nani anaupenda mchezo wa mfumo?Chadema ipo ICU na endapo hawatawavua uanachama hao watumwa wa kike waliouzwa Bungeni kienyeji kwa njia haramu za kishetani watambue kuwa chadema inafariki ijumaa na ndiyo mwisho wake kwani hakuna Mtanzania mwenye Akili timamu atasalia chadema tena watabakiwa na mazezeta kwani hakuna mtu anaupenda upumbavu huo
Mtapiga sana ramli mwaka huu. Ila jueni tu Lissu ni mpango wa Mungu hamumuwezi na hamtomuweza kamwe
Mdee na wenzake wanafukuzwa na kusahaulika kama wasaliti wengineUko sahihi, Kama umemsikiliza vizuri Mnyika alikuwa anaongea na sauti ya kutetemeka hasa akiongelea vitu sensitive maana yake yawezekana yupo against Mbowe. Kwa elimu ya Mdee na level yake chamani lazima awe na backup fulani kuongoza wamama 19 kuapa. Kihistoria Mnyika hana ubavu wa kumfanya lolote Mdee ndani ya CHADEMA nahisi kuna bomu kubwa linaenda kulipuka ijumaa kuigawa CHADEMA vipande vipande. Muda utaongea.
Jomba kwani wanatumia ubavu wa nguvu asili au ubavu wa katiba yao inasemajeUko sahihi, Kama umemsikiliza vizuri Mnyika alikuwa anaongea na sauti ya kutetemeka hasa akiongelea vitu sensitive maana yake yawezekana yupo against Mbowe. Kwa elimu ya Mdee na level yake chamani lazima awe na backup fulani kuongoza wamama 19 kuapa. Kihistoria Mnyika hana ubavu wa kumfanya lolote Mdee ndani ya CHADEMA nahisi kuna bomu kubwa linaenda kulipuka ijumaa kuigawa CHADEMA vipande vipande. Muda utaongea.
Kwa lipi special unaloliona wewe kwamba Mdee analo mpaka Chadema au Mnyika amuogope nyie ni wapuuzi sana Mdee atatolewa na mchukueni huko ufipaUko sahihi, Kama umemsikiliza vizuri Mnyika alikuwa anaongea na sauti ya kutetemeka hasa akiongelea vitu sensitive maana yake yawezekana yupo against Mbowe. Kwa elimu ya Mdee na level yake chamani lazima awe na backup fulani kuongoza wamama 19 kuapa. Kihistoria Mnyika hana ubavu wa kumfanya lolote Mdee ndani ya CHADEMA nahisi kuna bomu kubwa linaenda kulipuka ijumaa kuigawa CHADEMA vipande vipande. Muda utaongea.
Piga ramli tu weweChadema ilikuwa imeshaondoka kwenye siasa za kiuanaharakati na kuwa chama kinachjiandaa kushika dola.Kuja kwa Lissu kumerudisha chama miaka 10 nyuma.Lazima kuachana naye
Tumchukue tumpeleke ufipa ipi!?... Makao makuu ya Chadema!?.. Umelewa nini!???Kwa lipi special unaloliona wewe kwamba Mdee analo mpaka Chadema au Mnyika amuogope nyie ni wapuuzi sana Mdee atatolewa na mchukueni huko ufipa
MATAGA mmehamaki baada ya mchezo wenu kuvurugika [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ijumaa usije ukapotea tena mkuu!Mtapiga sana ramli mwaka huu. Ila jueni tu Lissu ni mpango wa Mungu hamumuwezi na hamtomuweza kamwe
Masikini mataga 🤣🤣🤣Waliohamaki ni wale walioitisha Kamati kuu ghafla baaada ya 'kina Mama' kujiongeza wakati muda wote walikuwa kimya wakisubiri patulie waingize mabibi zao