NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,284
- 24,047
Mwanafunzi wa John.Lugola yeye ni nani ??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwanafunzi wa John.Lugola yeye ni nani ??
John wa Pombe?Mwanafunzi wa John.
Hapana ni John Faru,dadake faru Mwanaidi.John wa Pombe?
NI YEYE 2020 🙂[emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu una moyo!
Kama wewe ulivyomtukana Lowassa kuwa ni fisadi lakini baadae alipohamia cdm akawa malaika kwako.Leo Mdee amekua mheshimiwa, siku chache nyuma mlimtukana matusi yote.
Mazezeta wako uko wanakotaka cdm iwe na wabunge bungeniChadema ipo ICU na endapo hawatawavua uanachama hao watumwa wa kike waliouzwa Bungeni kienyeji kwa njia haramu za kishetani watambue kuwa chadema inafariki ijumaa na ndiyo mwisho wake kwani hakuna Mtanzania mwenye Akili timamu atasalia chadema tena watabakiwa na mazezeta kwani hakuna mtu anaupenda upumbavu huo
John faru yule aliyekuwa na Lugalo wakikata mauno pamoja hadharani ??Hapana ni John Faru,dadake faru Mwanaidi.