CHADEMA wanamkana Tundu Lissu kisayansi kama walivyomtenda Dkt. Slaa, Lissu hana nafasi tena CHADEMA!

Ninyi watu wa mbogamboga mbona mnahangaika sana? Mnaogopa nini?
 
Nimekuelewa bwashee!
 
Na ukisikia katikati ya maneno ya Mdee kiongozi pekee Chadema aliyemtaja ni Mbowe.

...... nakishukuru chama changu......namshukuru mwenyekiti wangu....

Kwanini sio katibu au uongozi wa chama?

Kuna kitu hapa
Ameshindwa hata kuishukuru kamati kuu.

Halima James Mdee ni mbabe mbabe sana!
 
Si ameshaapishwa
Yaani wizi wenu wa kishamba mliiba bila kujua kunatakiwa upinzani ndani ya bunge ili beberu walete trl 2 kila mwaka kwenye bajeti sasa wamekuja kushtuka ndiyo mnahangaika kiasi hiki!

Na beberu amechomoa kuleta vidonge vya ukimwi uko! Hata hiii trl 2 wanapambania waletewe na beberu msahau beberu haleti kitu mbona tutaelewana tuuuuuu
 
Ww unadhani nitaathirika mimi tu na hiyo ishu ya ukimwi kama vidonge havipo?? au wale wenye ukimwi wakifa wewe na wenzenu ndio mtakua mmesaidia nini kwenye familia zao na maisha yao??
 
Kiburi na ubabe havina faida, eti nchi huru, huku mknakandamiza haki za binadamu. Minuend dawa za Ukimwi sasa.
 
Kiburi na ubabe havina faida, eti nchi huru, huku mknakandamiza haki za binadamu. Minuend dawa za Ukimwi sasa.
We unaongea na kujiaminisha kana kwamba wewe ukimwi hauwezi kukupata, au labda walioupata wana laana fulani, kumbe huijui kesho yako!
 
We unaongea na kujiaminisha kana kwamba wewe ukimwi hauwezi kukupata, au labda walioupata wana laana fulani, kumbe huijui kesho yako!
Viongoz feki wa ccm washazoe kula matapishi yao walilalamika kuwa kukiwa na wabunge wa upinzani tz haitasonga mbele kwa maendeleo maana wanakwamisha maendeleo ,hawa ccm feki wasiojitambua wakatumia kila mbinu kuhakikisha wapinzani wanaporwa ubunge na urais kwa kutumia tume ya uchaguzi feki iliyojaa makada wa ccm iliyoundwa na Magufuli ikisaidiwa na policcm wakafanikiwa hila zao,leo hii wameona wamefanya usenge wanang'ang'ana kutengeneza wabunge feki wa upinzani hii ni kula matapishi yao. Wameona aibu kukaa na vikao vyao vya ccm bungeni wanaforce wabunge feki wa upinzani huku ni kufilisika akili kwa rais feki Magufuli na genge lake la ccm, yy akae na maccm wenzake alete maendeleo aliyosema wapinzani wanakwamisha!!!

 
Mnyika ni kama Dr.Slaa wanasimamia wanachokiamini.!
Your browser is not able to display this video.
 
Leo Mdee amekua mheshimiwa, siku chache nyuma mlimtukana matusi yote.
Toka aapishwe amekuwa mheshimiwa mbunge. Kipindi kile alishindwa na Gwajima akapoteza uheshimiwa wake.

Hongera Mdee kwa kuukwaa uheshimiwa kibabe zaidi.

Tunataka wanawake majembe kama Mdee, Bulaya na Matiko na wengine. Hawataki kupoteza fursa wakati wameitafuta kwa jasho lao na imepatikana kisha wahuni wachache wanajua kabisa walishindwa wanaleta upuuzi wakati wanakula upepo Ulaya WANAWAKE wenzao waendelee kuchakaa mitaani.

Hongera mheshimiwa Mdee
 
Think tank wa Lumumba hapo ndio mmekaa majiniasi uchwara wa Lumumba mkatoka hili bonge la propaganda ? Kwa akili yenu mkajiona mmewazaaa? Mmebuniii ?
 
hivi wabunge wazoefu kama Mdee wanawezaje kwenda mpaka mbele ya spika na kuamua kuapa bila mawasiliano yoyote na uongozi wa juu wa chadema?? mbona hilo hulisemei unapambana na ccm tu??? una nini kichwani mwako wewe??
 
Think tank wa Lumumba hapo ndio mmekaa majiniasi uchwara wa Lumumba mkatoka hili bonge la propaganda ? Kwa akili yenu mkajiona mmewazaaa? Mmebuniii ? Huyo anayewalipa hamnazo kichwani kabisaaa .
Wewe hata kuisogelea gari ya Halima James Mdee huwezi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…