CHADEMA wanamkana Tundu Lissu kisayansi kama walivyomtenda Dkt. Slaa, Lissu hana nafasi tena CHADEMA!

Mtapiga sana ramli mwaka huu. Ila jueni tu Lissu ni mpango wa Mungu hamumuwezi na hamtomuweza kamwe.
[/QUOTE
Mi Kweli Lissu NI Mpago WA MZUNGU, Kama NI Mungu angempa Urais Asubuhi tu
 

Hakuna popote dunianiunaweza kufanya kinyume na maelekezo ya vikao vya chama ukabaki salama.Kwenye chama chenu tu kuchukua fomu ilikuwa ni kosa lakufukuzwa sasa mnataka kufndisha vyama vingine demokrasia ambayo hamkuitaka mwezimmoja tu uliopita.
 
Namuona Mnyika akikaa pembeni. There is no way atabaki kama ikionekana hao "wabunge" 19 wamepewa baraka ndani ya chama chake huku yeye akizungukwa na kubaki na forms number 8D za NEC mkononi. Mbaya zaidi hiyo kesho ikatokea Mwenyekiti alikua aware na hili picha. Let's stay tuned to see what is gonna happen.
 
Ni kweli wengi walimfuata Lissu tu mbowe kauza wabunge wa kike kitumwa Bungeni ili asikose ruzuku sasa kichwa kinamuuma jinsi ya kuwahadaa wanachadema asijulikane kachukua bilion 3 toka CCM peke yake
Ndivyo alivyokuambia wakati anakutoa minyoo?
 
Mdee apewe tuzo ya heshima kwa kuwapigania vema wanawake.
Lisu keshamaliza kona,hana jipya tena.
Kampe wewe unasubiri kitu gani au mpaka yawepo majeshi ya kukodi ya Burundi?
 
Chadema ipo ICU na njia pekee ya kuiokoa chadema isifariki ni kuwafukuza wabunge wa kike waliouzwa kitumwa kienyeji kwa Ndungai
Kuliko ilivyo CCM iliyookolewa na majeshi ya Burundi yaliyokodishwa na kuuwa watu??
 
Kwa mara ya kwanza nakubaliana na MATAGA wewe... Mbowe si wa kumuamini. Huyu pesa kwanza. Upinzani baadae. Kesho watu watakua dissapointed sana. Wanasema yuko Nai sijui kweli [emoji2][emoji2][emoji2]
 
Ndani ya miaka mitano kuwapoteza makatibu wakuu watatu sio Jambo la kufurahia
 
Lissu na Mnyika wanasepa na wanachama Sasa sijui CDM itabaki na Nini au ndio mambo ya CUF
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…