CHADEMA wanamtamani Prof. Assad awe mgombea wao wa urais 2020!

Makamanda ni watu wa matukio sana, kila linapotokea jambo huwa wanashadadia sana. Hivi sasa wamesahau hata kama wana mgonjwa kule Ulaya, wamesahau kama Halima Mdee na Lema pia wana kesi kama ya Assad huko Bungeni.
Hawana ajenda nyingine wanashindana kushusha nyuzi zenye mfanano wa mawazo. Wamesahau matukio yote ya siku nne nyuma hata maazimio ya kikao chao cha Kamati Kuu hawakumbuki kuyajadili.
Kuna Nassari ambaye hatma yake haijulikani mpaka sasa lakini naye wamemsahau.
Yaani makamanda kama Assad atasema najiunga na CHADEMA basi ni dhahiri atapewa nafasi ya kugombea urais.
Labda makamanda niwafahamishe tu hivi mnavyomtamani Assad ni kama kipindi kile mlivyomtamani Mwakyembe alipokuwa akimtungua Lowassa, Nape aliposhikiwa bastola, Bashe alipokuwa anasumbua Bungeni, Maalim Seif alipokuwa anagaragazwa na Lipumba.
Niwashauri tu huyu naye atapita suala lililopo ni kujitayarisha na mbilinge za 2020 maana Serikali za mitaa mmeshachelewa kama kikao cha Kamati Kuu kilivyoazimia!
Wananchi wanahitaji shule, Barabara, mahospitali, maji na mengineyo na hayo mara nyingi ndio wana CCM huyajadili na kuyapa kipaumbele!
Umeyawaza mambo hayo kwa hiyari yako halafu unawawekea CDM maneno mdomoni?Hicho kipara kipya uligawiwa wapi weye jamaa?
 
Makamanda ni watu wa matukio sana, kila linapotokea jambo huwa wanashadadia sana. Hivi sasa wamesahau hata kama wana mgonjwa kule Ulaya, wamesahau kama Halima Mdee na Lema pia wana kesi kama ya Assad huko Bungeni.

Hawana ajenda nyingine wanashindana kushusha nyuzi zenye mfanano wa mawazo. Wamesahau matukio yote ya siku nne nyuma hata maazimio ya kikao chao cha Kamati Kuu hawakumbuki kuyajadili.

Kuna Nassari ambaye hatma yake haijulikani mpaka sasa lakini naye wamemsahau.

Yaani makamanda kama Assad atasema najiunga na CHADEMA basi ni dhahiri atapewa nafasi ya kugombea urais.

Labda makamanda niwafahamishe tu hivi mnavyomtamani Assad ni kama kipindi kile mlivyomtamani Mwakyembe alipokuwa akimtungua Lowassa, Nape aliposhikiwa bastola, Bashe alipokuwa anasumbua Bungeni, Maalim Seif alipokuwa anagaragazwa na Lipumba.

Niwashauri tu huyu naye atapita suala lililopo ni kujitayarisha na mbilinge za 2020 maana Serikali za mitaa mmeshachelewa kama kikao cha Kamati Kuu kilivyoazimia!

Wananchi wanahitaji shule, Barabara, mahospitali, maji na mengineyo na hayo mara nyingi ndio wana CCM huyajadili na kuyapa kipaumbele!

Wabunge wa CCM wanatetea ufisadi ndiyomaana wanazikwepa report za CAG.

C C M = Chama Cha Mafisadi
 
usichokijua ni kwamba assad ananyanya swa tu kwakuwa ni muislamu. angekuwa mkristo pasingekuwa na nongwa zoote hizo. magufuli anawabagua waislamu anzia kwenye teuzi zake yeye huteua watu wa dini na kabila moja tu. bisha kwa ushahidi wewe kilamba viatu vya watawala. nami nitakupa ushahidi kama muislamu sio wa BAKWATA
Serikali haina dini!
 
Membe for presidence! Mwanadiplomasia huyu atapeperusha bendera ya chadema. Au sio makamanda au mmeshamsahau naye?
 
Wananchi wanahitaji shule, Barabara, mahospitali, maji na mengineyo na hayo mara nyingi ndio wana CCM huyajadili na kuyapa kipaumbele!

CCM wanaona kama kutoa huduma za jamii ni hisani na msaada kwa wa Tanzania, kuwa madarakani ndio la kupigania.

tapatalk_1545507273633.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usichokijua ni kwamba assad ananyanya swa tu kwakuwa ni muislamu. angekuwa mkristo pasingekuwa na nongwa zoote hizo. magufuli anawabagua waislamu anzia kwenye teuzi zake yeye huteua watu wa dini na kabila moja tu. bisha kwa ushahidi wewe kilamba viatu vya watawala. nami nitakupa ushahidi kama muislamu sio wa BAKWATA
Kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Makamanda ni watu wa matukio sana, kila linapotokea jambo huwa wanashadadia sana. Hivi sasa wamesahau hata kama wana mgonjwa kule Ulaya, wamesahau kama Halima Mdee na Lema pia wana kesi kama ya Assad huko Bungeni.

Hawana ajenda nyingine wanashindana kushusha nyuzi zenye mfanano wa mawazo. Wamesahau matukio yote ya siku nne nyuma hata maazimio ya kikao chao cha Kamati Kuu hawakumbuki kuyajadili.

Kuna Nassari ambaye hatma yake haijulikani mpaka sasa lakini naye wamemsahau.

Yaani makamanda kama Assad atasema najiunga na CHADEMA basi ni dhahiri atapewa nafasi ya kugombea urais.

Labda makamanda niwafahamishe tu hivi mnavyomtamani Assad ni kama kipindi kile mlivyomtamani Mwakyembe alipokuwa akimtungua Lowassa, Nape aliposhikiwa bastola, Bashe alipokuwa anasumbua Bungeni, Maalim Seif alipokuwa anagaragazwa na Lipumba.

Niwashauri tu huyu naye atapita suala lililopo ni kujitayarisha na mbilinge za 2020 maana Serikali za mitaa mmeshachelewa kama kikao cha Kamati Kuu kilivyoazimia!

Wananchi wanahitaji shule, Barabara, mahospitali, maji na mengineyo na hayo mara nyingi ndio wana CCM huyajadili na kuyapa kipaumbele!
KATIBA INASEMA KAMA MTU AMEWAHI KUWA CAG basi HATAKIWI KUTEULIWA/ KUFANYA KAZI NYINGINE YA MFANANO HUO KATIKA JMT
 
Makamanda ni watu wa matukio sana, kila linapotokea jambo huwa wanashadadia sana. Hivi sasa wamesahau hata kama wana mgonjwa kule Ulaya, wamesahau kama Halima Mdee na Lema pia wana kesi kama ya Assad huko Bungeni.

Hawana ajenda nyingine wanashindana kushusha nyuzi zenye mfanano wa mawazo. Wamesahau matukio yote ya siku nne nyuma hata maazimio ya kikao chao cha Kamati Kuu hawakumbuki kuyajadili.

Kuna Nassari ambaye hatma yake haijulikani mpaka sasa lakini naye wamemsahau.

Yaani makamanda kama Assad atasema najiunga na CHADEMA basi ni dhahiri atapewa nafasi ya kugombea urais.

Labda makamanda niwafahamishe tu hivi mnavyomtamani Assad ni kama kipindi kile mlivyomtamani Mwakyembe alipokuwa akimtungua Lowassa, Nape aliposhikiwa bastola, Bashe alipokuwa anasumbua Bungeni, Maalim Seif alipokuwa anagaragazwa na Lipumba.

Niwashauri tu huyu naye atapita suala lililopo ni kujitayarisha na mbilinge za 2020 maana Serikali za mitaa mmeshachelewa kama kikao cha Kamati Kuu kilivyoazimia!

Wananchi wanahitaji shule, Barabara, mahospitali, maji na mengineyo na hayo mara nyingi ndio wana CCM huyajadili na kuyapa kipaumbele!
Kama ccm inavyomtaka Piere Liquid, ngoja swaga za wajane. Zero kajidhihirisha
[emoji23][emoji2][emoji2]

Watu takataka kama wewe ndio mliojaa bongo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio kila mtu anaweza kuwa mgombea urais suala la CAG na Bunge vina uhusiano gani na mgombea Urais?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa chadema hakuna linaloshindikana..kipindi kile cha upepo wa abdul nondo kingekuwa cha uchaguzi wa rais si kitu cha ajabu ungeona wamempa tiketi ya urais agombee..chadema safari yao hutegemea upepo umevuma kuelekea wapi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nchi hii ina tatizo kubwa sana ambalo kama halitapata dawa,litaleta shida sana miaka mingi ijayo.
Akili ya mleta uzi,ameandika kama mjinga fulani ila ana akili zake timamu na anataka aitumie vizuri mbinu aliyoitumia ibilisi pale edeni ya kuwa " confuse!"watu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom