CHADEMA wanamtamani Prof. Assad awe mgombea wao wa urais 2020!

Sio kila mtu anaweza kuwa mgombea urais suala la CAG na Bunge vina uhusiano gani na mgombea Urais?

Sent using Jamii Forums mobile app

Alimradi wapindishe mjadala wa report ya CAG kujadiliwa. Kaingiaje sasa kwenye uRais wa Chadema?!! Wananchi wanasisitiza tu report ifike bungeni, tujue mbivu na mbichi.
 
Kwa ccm wakikuona unamtetea wasiyo mpenda basi tayari na huyo anakuwa ni mpinzani

In God we trust
Vipi kuhusu makonda eti ni chadema ndio walimlipia ada ya chuo huko moshi na akalelewa na bavicha!
 
Prof. Assad inabidi awe makini sana na hawa jamaa. Watamshobokea kweli hawa jamaa sasa hivi na anaweza kuvimba kichwa eti "anaungwa mkono". Akiibuka mwingine, watamtupa kama toilet paper iliyotumika. Ajiuliza Membe waliyemshadidia hadi wakamtengenezea kauli mbiu " Kazi na Bata" yuko wapi leo.
 
Makamanda ni watu wa matukio sana, kila linapotokea jambo huwa wanashadadia sana. Hivi sasa wamesahau hata kama wana mgonjwa kule Ulaya, wamesahau kama Halima Mdee na Lema pia wana kesi kama ya Assad huko Bungeni.

Hawana ajenda nyingine wanashindana kushusha nyuzi zenye mfanano wa mawazo. Wamesahau matukio yote ya siku nne nyuma hata maazimio ya kikao chao cha Kamati Kuu hawakumbuki kuyajadili.

Kuna Nassari ambaye hatma yake haijulikani mpaka sasa lakini naye wamemsahau.

Yaani makamanda kama Assad atasema najiunga na CHADEMA basi ni dhahiri atapewa nafasi ya kugombea urais.

Labda makamanda niwafahamishe tu hivi mnavyomtamani Assad ni kama kipindi kile mlivyomtamani Mwakyembe alipokuwa akimtungua Lowassa, Nape aliposhikiwa bastola, Bashe alipokuwa anasumbua Bungeni, Maalim Seif alipokuwa anagaragazwa na Lipumba.

Niwashauri tu huyu naye atapita suala lililopo ni kujitayarisha na mbilinge za 2020 maana Serikali za mitaa mmeshachelewa kama kikao cha Kamati Kuu kilivyoazimia!

Wananchi wanahitaji shule, Barabara, mahospitali, maji na mengineyo na hayo mara nyingi ndio wana CCM huyajadili na kuyapa kipaumbele!
dadangu [emoji83] [emoji196] hivi ndo unajiandaa kutoka night shift au ndo unaingia[emoji126] [emoji126] [emoji241] [emoji201] [emoji196] [emoji196] [emoji236] [emoji216]
Buku7

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sioni connection yoyote ya wapinzani na CAG.
Na kwenye hili suala ya CAG siasa zinaingiaje hapa? Hizi ni conflict za kisheria na kikatiba. No time for siasa hapa.
Msiwe mnachukulia kila jambo kuwa ni political climbing point.. mnaonekana watoto

Sent using Jamii Forums mobile app
Uwajibikaji/Kuwajibishwa kwake

i.Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali anawajibika kwa Rais sio kwa Bunge. Ibara ya 143 (4). Bungeni huwasilisha taarifa ambayo imetoka kwa Rais.

ii.Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikai halazimiki kufuata Maagizo ya mtu yeyote Ibara ya 143 (6).

iii.Mahakama ina uwezo wa kuchunguza kama Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali ametekeleza madaraka yake kwa mujibu wa masharti ya Katiba hii ama sivyo. Ibara ya 143 (6).

iv.Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali ataondoka kazini kwa yafuatayo;

a.Kustaafu

b.Kuugua

c.Kwa sababu ya tabia mbaya, au kwa kuvunja masharti ya sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma. Ibara ya 144

v. Kuondolewa kazini kwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali ni mchakato mrefu unaoanza na Rais kuteua Tume Maalum ambayo itakuwa na Mwenyekiti na Wajumbe wengine wasiopungua wawili. Ibara ya 144 (3).

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Makamanda ni watu wa matukio sana, kila linapotokea jambo huwa wanashadadia sana. Hivi sasa wamesahau hata kama wana mgonjwa kule Ulaya, wamesahau kama Halima Mdee na Lema pia wana kesi kama ya Assad huko Bungeni.

Hawana ajenda nyingine wanashindana kushusha nyuzi zenye mfanano wa mawazo. Wamesahau matukio yote ya siku nne nyuma hata maazimio ya kikao chao cha Kamati Kuu hawakumbuki kuyajadili.

Kuna Nassari ambaye hatma yake haijulikani mpaka sasa lakini naye wamemsahau.

Yaani makamanda kama Assad atasema najiunga na CHADEMA basi ni dhahiri atapewa nafasi ya kugombea urais.

Labda makamanda niwafahamishe tu hivi mnavyomtamani Assad ni kama kipindi kile mlivyomtamani Mwakyembe alipokuwa akimtungua Lowassa, Nape aliposhikiwa bastola, Bashe alipokuwa anasumbua Bungeni, Maalim Seif alipokuwa anagaragazwa na Lipumba.

Niwashauri tu huyu naye atapita suala lililopo ni kujitayarisha na mbilinge za 2020 maana Serikali za mitaa mmeshachelewa kama kikao cha Kamati Kuu kilivyoazimia!

Wananchi wanahitaji shule, Barabara, mahospitali, maji na mengineyo na hayo mara nyingi ndio wana CCM huyajadili na kuyapa kipaumbele!
zimebaki siku 2 tu msahafu wa ASSAD unatakiwa utinge mjengoni. na usipotinga ndani ya siku hizo mbili kitaeleweka jiandaeni fisi kurudi porini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
WanaCCM wenzangu, tunawaita wenzetu Nyumbu, na hali sisi wenyewe tumekuwa na mambo kama yao. Jee nasi tuu nyumbu.

Tunasahau kuwa katiba ya nchi na sheria ni za watanzania wote, hasipaswi kuvunjwa na mtu yoyote yule. Kwa hivyo ni wajibu wa kila mtanzania katiba na sheria zisivunjwe.

Hebu angalieni leo serekali inayoongozwa na PM wa uingereza inavyopingwa kwenye Brexit na hata mawaziri wake.

Wana CCM serekali ya chama chetu inappokosea ni wajibu wetu kuikosoa sisi kwanza kabla ya upinzani, tunawapa fursa wenyewe alafu tunaanza kuwaporomeshea matusi kama wao walivyozoea ama kufikiria matusi ni siasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Makamanda ni watu wa matukio sana, kila linapotokea jambo huwa wanashadadia sana. Hivi sasa wamesahau hata kama wana mgonjwa kule Ulaya, wamesahau kama Halima Mdee na Lema pia wana kesi kama ya Assad huko Bungeni.

Hawana ajenda nyingine wanashindana kushusha nyuzi zenye mfanano wa mawazo. Wamesahau matukio yote ya siku nne nyuma hata maazimio ya kikao chao cha Kamati Kuu hawakumbuki kuyajadili.

Kuna Nassari ambaye hatma yake haijulikani mpaka sasa lakini naye wamemsahau.

Yaani makamanda kama Assad atasema najiunga na CHADEMA basi ni dhahiri atapewa nafasi ya kugombea urais.

Labda makamanda niwafahamishe tu hivi mnavyomtamani Assad ni kama kipindi kile mlivyomtamani Mwakyembe alipokuwa akimtungua Lowassa, Nape aliposhikiwa bastola, Bashe alipokuwa anasumbua Bungeni, Maalim Seif alipokuwa anagaragazwa na Lipumba.

Niwashauri tu huyu naye atapita suala lililopo ni kujitayarisha na mbilinge za 2020 maana Serikali za mitaa mmeshachelewa kama kikao cha Kamati Kuu kilivyoazimia!

Wananchi wanahitaji shule, Barabara, mahospitali, maji na mengineyo na hayo mara nyingi ndio wana CCM huyajadili na kuyapa kipaumbele!
Nasikia hata wewe utapewa

Kipara bila hela ni sawa na kovu tu
 
Sioni connection yoyote ya wapinzani na CAG.
Na kwenye hili suala ya CAG siasa zinaingiaje hapa? Hizi ni conflict za kisheria na kikatiba. No time for siasa hapa.
Msiwe mnachukulia kila jambo kuwa ni political climbing point.. mnaonekana watoto

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukumbusho japo hajawa mgombea lakini connection umeiona!
 
Attachments

  • Screenshot_20250313_145246_Chrome.jpg
    Screenshot_20250313_145246_Chrome.jpg
    222.9 KB · Views: 1
Makamanda ni watu wa matukio sana, kila linapotokea jambo huwa wanashadadia sana. Hivi sasa wamesahau hata kama wana mgonjwa kule Ulaya, wamesahau kama Halima Mdee na Lema pia wana kesi kama ya Assad huko Bungeni.

Hawana ajenda nyingine wanashindana kushusha nyuzi zenye mfanano wa mawazo. Wamesahau matukio yote ya siku nne nyuma hata maazimio ya kikao chao cha Kamati Kuu hawakumbuki kuyajadili.

Kuna Nassari ambaye hatma yake haijulikani mpaka sasa lakini naye wamemsahau.

Yaani makamanda kama Assad atasema najiunga na CHADEMA basi ni dhahiri atapewa nafasi ya kugombea urais.

Labda makamanda niwafahamishe tu hivi mnavyomtamani Assad ni kama kipindi kile mlivyomtamani Mwakyembe alipokuwa akimtungua Lowassa, Nape aliposhikiwa bastola, Bashe alipokuwa anasumbua Bungeni, Maalim Seif alipokuwa anagaragazwa na Lipumba.

Niwashauri tu huyu naye atapita suala lililopo ni kujitayarisha na mbilinge za 2020 maana Serikali za mitaa mmeshachelewa kama kikao cha Kamati Kuu kilivyoazimia!

Wananchi wanahitaji shule, Barabara, mahospitali, maji na mengineyo na hayo mara nyingi ndio wana CCM huyajadili na kuyapa kipaumbele!
Ingependeza Profesa Assad kuwa Rais wa nchi hii.
 
Back
Top Bottom