CHADEMA wanamtamani Prof. Assad awe mgombea wao wa urais 2020!

Umeyawaza mambo hayo kwa hiyari yako halafu unawawekea CDM maneno mdomoni?Hicho kipara kipya uligawiwa wapi weye jamaa?
 


Wabunge wa CCM wanatetea ufisadi ndiyomaana wanazikwepa report za CAG.

C C M = Chama Cha Mafisadi
 
Serikali haina dini!
 
Membe for presidence! Mwanadiplomasia huyu atapeperusha bendera ya chadema. Au sio makamanda au mmeshamsahau naye?
 
Kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
KATIBA INASEMA KAMA MTU AMEWAHI KUWA CAG basi HATAKIWI KUTEULIWA/ KUFANYA KAZI NYINGINE YA MFANANO HUO KATIKA JMT
 
Kama ccm inavyomtaka Piere Liquid, ngoja swaga za wajane. Zero kajidhihirisha
[emoji23][emoji2][emoji2]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu takataka kama wewe ndio mliojaa bongo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio kila mtu anaweza kuwa mgombea urais suala la CAG na Bunge vina uhusiano gani na mgombea Urais?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa chadema hakuna linaloshindikana..kipindi kile cha upepo wa abdul nondo kingekuwa cha uchaguzi wa rais si kitu cha ajabu ungeona wamempa tiketi ya urais agombee..chadema safari yao hutegemea upepo umevuma kuelekea wapi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nchi hii ina tatizo kubwa sana ambalo kama halitapata dawa,litaleta shida sana miaka mingi ijayo.
Akili ya mleta uzi,ameandika kama mjinga fulani ila ana akili zake timamu na anataka aitumie vizuri mbinu aliyoitumia ibilisi pale edeni ya kuwa " confuse!"watu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…