Hawa watu ni mapopoma mno..ni kama nyumbu yanaenda makundimakundi...ndo mana ngosha hapati tabu sana kuwafinish"kushusha nyuzi zenye mfanano wa mawazo"
Kiukweli ilifaa hizo nyuzi mods waziunge tu,kila ukifungua ni yaleyale,wanabadilisha heading tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe unahitaji kupigwa kipara tenaMakamanda ni watu wa matukio sana, kila linapotokea jambo huwa wanashadadia sana. Hivi sasa wamesahau hata kama wana mgonjwa kule Ulaya, wamesahau kama Halima Mdee na Lema pia wana kesi kama ya Assad huko Bungeni.
Hawana ajenda nyingine wanashindana kushusha nyuzi zenye mfanano wa mawazo. Wamesahau matukio yote ya siku nne nyuma hata maazimio ya kikao chao cha Kamati Kuu hawakumbuki kuyajadili.
Kuna Nassari ambaye hatma yake haijulikani mpaka sasa lakini naye wamemsahau.
Yaani makamanda kama Assad atasema najiunga na CHADEMA basi ni dhahiri atapewa nafasi ya kugombea urais.
Labda makamanda niwafahamishe tu hivi mnavyomtamani Assad ni kama kipindi kile mlivyomtamani Mwakyembe alipokuwa akimtungua Lowassa, Nape aliposhikiwa bastola, Bashe alipokuwa anasumbua Bungeni, Maalim Seif alipokuwa anagaragazwa na Lipumba.
Niwashauri tu huyu naye atapita suala lililopo ni kujitayarisha na mbilinge za 2020 maana Serikali za mitaa mmeshachelewa kama kikao cha Kamati Kuu kilivyoazimia!
Wananchi wanahitaji shule, Barabara, mahospitali, maji na mengineyo na hayo mara nyingi ndio wana CCM huyajadili na kuyapa kipaumbele!
Hahaha a very good and proffesssional replyKumbe CHADEMA wanasimama na mtu credible
Ni kiongozi yupi amesema hivyo?Makamanda ni watu wa matukio sana, kila linapotokea jambo huwa wanashadadia sana. Hivi sasa wamesahau hata kama wana mgonjwa kule Ulaya, wamesahau kama Halima Mdee na Lema pia wana kesi kama ya Assad huko Bungeni.
Hawana ajenda nyingine wanashindana kushusha nyuzi zenye mfanano wa mawazo. Wamesahau matukio yote ya siku nne nyuma hata maazimio ya kikao chao cha Kamati Kuu hawakumbuki kuyajadili.
Kuna Nassari ambaye hatma yake haijulikani mpaka sasa lakini naye wamemsahau.
Yaani makamanda kama Assad atasema najiunga na CHADEMA basi ni dhahiri atapewa nafasi ya kugombea urais.
Labda makamanda niwafahamishe tu hivi mnavyomtamani Assad ni kama kipindi kile mlivyomtamani Mwakyembe alipokuwa akimtungua Lowassa, Nape aliposhikiwa bastola, Bashe alipokuwa anasumbua Bungeni, Maalim Seif alipokuwa anagaragazwa na Lipumba.
Niwashauri tu huyu naye atapita suala lililopo ni kujitayarisha na mbilinge za 2020 maana Serikali za mitaa mmeshachelewa kama kikao cha Kamati Kuu kilivyoazimia!
Wananchi wanahitaji shule, Barabara, mahospitali, maji na mengineyo na hayo mara nyingi ndio wana CCM huyajadili na kuyapa kipaumbele!
Aahaha chairman alishasema wapo tayari kutumia silaha yeyote ili mradi waingie ikulu!Kwa chadema hakuna linaloshindikana..kipindi kile cha upepo wa abdul nondo kingekuwa cha uchaguzi wa rais si kitu cha ajabu ungeona wamempa tiketi ya urais agombee..chadema safari yao hutegemea upepo umevuma kuelekea wapi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Inabidi vijana wajiandae kisaikolojia..kwamba safari yao itategemea upepo..si ajabu hata liquid akapewa tiketi..maana nayo ni silaha..sema itategemea status yake kuelekea kipindi cha uchaguzi.Aahaha chairman alishasema wapo tayari kutumia silaha yeyote ili mradi waingie ikulu!
Makamanda ni watu wa matukio sana, kila linapotokea jambo huwa wanashadadia sana. Hivi sasa wamesahau hata kama wana mgonjwa kule Ulaya, wamesahau kama Halima Mdee na Lema pia wana kesi kama ya Assad huko Bungeni.
Hawana ajenda nyingine wanashindana kushusha nyuzi zenye mfanano wa mawazo. Wamesahau matukio yote ya siku nne nyuma hata maazimio ya kikao chao cha Kamati Kuu hawakumbuki kuyajadili.
Kuna Nassari ambaye hatma yake haijulikani mpaka sasa lakini naye wamemsahau.
Yaani makamanda kama Assad atasema najiunga na CHADEMA basi ni dhahiri atapewa nafasi ya kugombea urais.
Labda makamanda niwafahamishe tu hivi mnavyomtamani Assad ni kama kipindi kile mlivyomtamani Mwakyembe alipokuwa akimtungua Lowassa, Nape aliposhikiwa bastola, Bashe alipokuwa anasumbua Bungeni, Maalim Seif alipokuwa anagaragazwa na Lipumba.
Niwashauri tu huyu naye atapita suala lililopo ni kujitayarisha na mbilinge za 2020 maana Serikali za mitaa mmeshachelewa kama kikao cha Kamati Kuu kilivyoazimia!
Wananchi wanahitaji shule, Barabara, mahospitali, maji na mengineyo na hayo mara nyingi ndio wana CCM huyajadili na kuyapa kipaumbele!
Makamanda ni watu wa matukio sana, kila linapotokea jambo huwa wanashadadia sana. Hivi sasa wamesahau hata kama wana mgonjwa kule Ulaya, wamesahau kama Halima Mdee na Lema pia wana kesi kama ya Assad huko Bungeni.
Hawana ajenda nyingine wanashindana kushusha nyuzi zenye mfanano wa mawazo. Wamesahau matukio yote ya siku nne nyuma hata maazimio ya kikao chao cha Kamati Kuu hawakumbuki kuyajadili.
Kuna Nassari ambaye hatma yake haijulikani mpaka sasa lakini naye wamemsahau.
Yaani makamanda kama Assad atasema najiunga na CHADEMA basi ni dhahiri atapewa nafasi ya kugombea urais.
Labda makamanda niwafahamishe tu hivi mnavyomtamani Assad ni kama kipindi kile mlivyomtamani Mwakyembe alipokuwa akimtungua Lowassa, Nape aliposhikiwa bastola, Bashe alipokuwa anasumbua Bungeni, Maalim Seif alipokuwa anagaragazwa na Lipumba.
Niwashauri tu huyu naye atapita suala lililopo ni kujitayarisha na mbilinge za 2020 maana Serikali za mitaa mmeshachelewa kama kikao cha Kamati Kuu kilivyoazimia!
Wananchi wanahitaji shule, Barabara, mahospitali, maji na mengineyo na hayo mara nyingi ndio wana CCM huyajadili na kuyapa kipaumbele!
Sio kila mtu anaweza kuwa mgombea urais suala la CAG na Bunge vina uhusiano gani na mgombea Urais?
Sent using Jamii Forums mobile app
Pierre akiongeza juhudi kidogo,makamanda watamtelekeza Lissu na wataanza kushusha nyuzi za "twendeni na Pierre 2020"
Sent using Jamii Forums mobile app
Sioni connection yoyote ya wapinzani na CAG.
Na kwenye hili suala ya CAG siasa zinaingiaje hapa? Hizi ni conflict za kisheria na kikatiba. No time for siasa hapa.
Msiwe mnachukulia kila jambo kuwa ni political climbing point.. mnaonekana watoto
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe CHADEMA wanasimama na mtu credible
Cc;mmawia!
Wamekwambia hivyo?
Leo naona wako na Pierre liquid Lissu tena sio habari ya mjini Membe Ndo kabisa kisa ni kum frustrate MAKONDA
Mkutano 1 ni takriban vikao 12 na kila kikao ni posho ya sh.300,000/=, kwa maana nyingine Halima Mdee atakosa mikutano 2 ambayo ni sawa na 7,200,000/= iki ni baadhi ya chanzo cha marejesho ya mikopo! ndiyo maana Mnyika na Msigwa wamejikalia kimya!
Kwani Pierre na mgombea wenu wa 2015 ambaye ni ??? kwa sasa wana tofauti gani? afterall Pierre kakubalika zaidi na Makamu Rais, Waziri Mkuu, Spika na Naibu wake na mawaziri Mwakyembe na Kigwa. Iweje muihusishe Chadema hapo? Hujui kisa cha Makonda kumkasirikia Pierre na kumuita wa hovyo ni kuwa anaweza kupata uteuzi akampita Makonda?
Atateuliwa na Mbowe!Tusishangae Liquid akawa mkuu wa mkoa wa dsm
In God we trust