Sio kila mtu anaweza kuwa mgombea urais suala la CAG na Bunge vina uhusiano gani na mgombea Urais?
Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi kuhusu makonda eti ni chadema ndio walimlipia ada ya chuo huko moshi na akalelewa na bavicha!Kwa ccm wakikuona unamtetea wasiyo mpenda basi tayari na huyo anakuwa ni mpinzani
In God we trust
Vipi kuhusu makonda eti ni chadema ndio walimlipia ada ya chuo huko moshi na akalelewa na bavicha!
dadangu [emoji83] [emoji196] hivi ndo unajiandaa kutoka night shift au ndo unaingia[emoji126] [emoji126] [emoji241] [emoji201] [emoji196] [emoji196] [emoji236] [emoji216]Makamanda ni watu wa matukio sana, kila linapotokea jambo huwa wanashadadia sana. Hivi sasa wamesahau hata kama wana mgonjwa kule Ulaya, wamesahau kama Halima Mdee na Lema pia wana kesi kama ya Assad huko Bungeni.
Hawana ajenda nyingine wanashindana kushusha nyuzi zenye mfanano wa mawazo. Wamesahau matukio yote ya siku nne nyuma hata maazimio ya kikao chao cha Kamati Kuu hawakumbuki kuyajadili.
Kuna Nassari ambaye hatma yake haijulikani mpaka sasa lakini naye wamemsahau.
Yaani makamanda kama Assad atasema najiunga na CHADEMA basi ni dhahiri atapewa nafasi ya kugombea urais.
Labda makamanda niwafahamishe tu hivi mnavyomtamani Assad ni kama kipindi kile mlivyomtamani Mwakyembe alipokuwa akimtungua Lowassa, Nape aliposhikiwa bastola, Bashe alipokuwa anasumbua Bungeni, Maalim Seif alipokuwa anagaragazwa na Lipumba.
Niwashauri tu huyu naye atapita suala lililopo ni kujitayarisha na mbilinge za 2020 maana Serikali za mitaa mmeshachelewa kama kikao cha Kamati Kuu kilivyoazimia!
Wananchi wanahitaji shule, Barabara, mahospitali, maji na mengineyo na hayo mara nyingi ndio wana CCM huyajadili na kuyapa kipaumbele!
Uwajibikaji/Kuwajibishwa kwakeSioni connection yoyote ya wapinzani na CAG.
Na kwenye hili suala ya CAG siasa zinaingiaje hapa? Hizi ni conflict za kisheria na kikatiba. No time for siasa hapa.
Msiwe mnachukulia kila jambo kuwa ni political climbing point.. mnaonekana watoto
Sent using Jamii Forums mobile app
zimebaki siku 2 tu msahafu wa ASSAD unatakiwa utinge mjengoni. na usipotinga ndani ya siku hizo mbili kitaeleweka jiandaeni fisi kurudi poriniMakamanda ni watu wa matukio sana, kila linapotokea jambo huwa wanashadadia sana. Hivi sasa wamesahau hata kama wana mgonjwa kule Ulaya, wamesahau kama Halima Mdee na Lema pia wana kesi kama ya Assad huko Bungeni.
Hawana ajenda nyingine wanashindana kushusha nyuzi zenye mfanano wa mawazo. Wamesahau matukio yote ya siku nne nyuma hata maazimio ya kikao chao cha Kamati Kuu hawakumbuki kuyajadili.
Kuna Nassari ambaye hatma yake haijulikani mpaka sasa lakini naye wamemsahau.
Yaani makamanda kama Assad atasema najiunga na CHADEMA basi ni dhahiri atapewa nafasi ya kugombea urais.
Labda makamanda niwafahamishe tu hivi mnavyomtamani Assad ni kama kipindi kile mlivyomtamani Mwakyembe alipokuwa akimtungua Lowassa, Nape aliposhikiwa bastola, Bashe alipokuwa anasumbua Bungeni, Maalim Seif alipokuwa anagaragazwa na Lipumba.
Niwashauri tu huyu naye atapita suala lililopo ni kujitayarisha na mbilinge za 2020 maana Serikali za mitaa mmeshachelewa kama kikao cha Kamati Kuu kilivyoazimia!
Wananchi wanahitaji shule, Barabara, mahospitali, maji na mengineyo na hayo mara nyingi ndio wana CCM huyajadili na kuyapa kipaumbele!
Nasikia hata wewe utapewaMakamanda ni watu wa matukio sana, kila linapotokea jambo huwa wanashadadia sana. Hivi sasa wamesahau hata kama wana mgonjwa kule Ulaya, wamesahau kama Halima Mdee na Lema pia wana kesi kama ya Assad huko Bungeni.
Hawana ajenda nyingine wanashindana kushusha nyuzi zenye mfanano wa mawazo. Wamesahau matukio yote ya siku nne nyuma hata maazimio ya kikao chao cha Kamati Kuu hawakumbuki kuyajadili.
Kuna Nassari ambaye hatma yake haijulikani mpaka sasa lakini naye wamemsahau.
Yaani makamanda kama Assad atasema najiunga na CHADEMA basi ni dhahiri atapewa nafasi ya kugombea urais.
Labda makamanda niwafahamishe tu hivi mnavyomtamani Assad ni kama kipindi kile mlivyomtamani Mwakyembe alipokuwa akimtungua Lowassa, Nape aliposhikiwa bastola, Bashe alipokuwa anasumbua Bungeni, Maalim Seif alipokuwa anagaragazwa na Lipumba.
Niwashauri tu huyu naye atapita suala lililopo ni kujitayarisha na mbilinge za 2020 maana Serikali za mitaa mmeshachelewa kama kikao cha Kamati Kuu kilivyoazimia!
Wananchi wanahitaji shule, Barabara, mahospitali, maji na mengineyo na hayo mara nyingi ndio wana CCM huyajadili na kuyapa kipaumbele!
Kumbe saa zingine uko sawa. I'm so proud of youAssad ndio huyo ni kumpelekea kadi tu!
Kipara bila hela ni sawa na kovu tuMakamanda ni watu wa matukio sana, kila linapotokea jambo huwa wanashadadia sana. Hivi sasa wamesahau hata kama wana mgonjwa kule Ulaya, wamesahau kama Halima Mdee na Lema pia wana kesi kama ya Assad huko Bungeni.
Hawana ajenda nyingine wanashindana kushusha nyuzi zenye mfanano wa mawazo. Wamesahau matukio yote ya siku nne nyuma hata maazimio ya kikao chao cha Kamati Kuu hawakumbuki kuyajadili.
Kuna Nassari ambaye hatma yake haijulikani mpaka sasa lakini naye wamemsahau.
Yaani makamanda kama Assad atasema najiunga na CHADEMA basi ni dhahiri atapewa nafasi ya kugombea urais.
Labda makamanda niwafahamishe tu hivi mnavyomtamani Assad ni kama kipindi kile mlivyomtamani Mwakyembe alipokuwa akimtungua Lowassa, Nape aliposhikiwa bastola, Bashe alipokuwa anasumbua Bungeni, Maalim Seif alipokuwa anagaragazwa na Lipumba.
Niwashauri tu huyu naye atapita suala lililopo ni kujitayarisha na mbilinge za 2020 maana Serikali za mitaa mmeshachelewa kama kikao cha Kamati Kuu kilivyoazimia!
Wananchi wanahitaji shule, Barabara, mahospitali, maji na mengineyo na hayo mara nyingi ndio wana CCM huyajadili na kuyapa kipaumbele!
Ukumbusho japo hajawa mgombea lakini connection umeiona!Sioni connection yoyote ya wapinzani na CAG.
Na kwenye hili suala ya CAG siasa zinaingiaje hapa? Hizi ni conflict za kisheria na kikatiba. No time for siasa hapa.
Msiwe mnachukulia kila jambo kuwa ni political climbing point.. mnaonekana watoto
Sent using Jamii Forums mobile app
Alilelewa na Mzee six na ndiye alimvua ubingwa NyamitakoVipi kuhusu makonda eti ni chadema ndio walimlipia ada ya chuo huko moshi na akalelewa na bavicha!
Ingependeza Profesa Assad kuwa Rais wa nchi hii.Makamanda ni watu wa matukio sana, kila linapotokea jambo huwa wanashadadia sana. Hivi sasa wamesahau hata kama wana mgonjwa kule Ulaya, wamesahau kama Halima Mdee na Lema pia wana kesi kama ya Assad huko Bungeni.
Hawana ajenda nyingine wanashindana kushusha nyuzi zenye mfanano wa mawazo. Wamesahau matukio yote ya siku nne nyuma hata maazimio ya kikao chao cha Kamati Kuu hawakumbuki kuyajadili.
Kuna Nassari ambaye hatma yake haijulikani mpaka sasa lakini naye wamemsahau.
Yaani makamanda kama Assad atasema najiunga na CHADEMA basi ni dhahiri atapewa nafasi ya kugombea urais.
Labda makamanda niwafahamishe tu hivi mnavyomtamani Assad ni kama kipindi kile mlivyomtamani Mwakyembe alipokuwa akimtungua Lowassa, Nape aliposhikiwa bastola, Bashe alipokuwa anasumbua Bungeni, Maalim Seif alipokuwa anagaragazwa na Lipumba.
Niwashauri tu huyu naye atapita suala lililopo ni kujitayarisha na mbilinge za 2020 maana Serikali za mitaa mmeshachelewa kama kikao cha Kamati Kuu kilivyoazimia!
Wananchi wanahitaji shule, Barabara, mahospitali, maji na mengineyo na hayo mara nyingi ndio wana CCM huyajadili na kuyapa kipaumbele!
Wazo zuri...kama atasimama kama mgombea binafsi atapata kura nyingi sana!Ingependeza Profesa Assad kuwa Rais wa nchi hii.