Tuta Absoluta Kantangaze
Member
- Nov 2, 2023
- 83
- 251
Msije baadaye mkasema mmedhulumiwa kura au kura zimeibwa.
Mnapoingia uwanjani ni kuwa mmekubaliana na sheria na taratibu za mchezo. Hakuna excuses za kipuuzi. Ni kupambana na kukubaliana na matokeo. Hakutakuwa na excuses ni mapambano. Mshindi apatikane.
Maana hamchelewi kusema mlinyanyaswa. Matokeo si yenyewe au sijui nini na nini. Kama mmeamua kushindana kwenye uchaguzi basi mmekubaliana na matokeo pia.
Kanuni ni zile zile za miaka yote hakuna jipya. Kama mlishinda before kwa kanuni hizi hizi mkishindwa pia mkubali. Maana hakuna ambacho kilinadilika.