Tuta Absoluta Kantangaze
Member
- Nov 2, 2023
- 83
- 251
Halafu ukianikwa?Pamoja na mambo mengine, Ushiriki wa Chadema utafanya uchaguzi huu ufuatiliwe Dunia nzima, hii maana yake ni kwamba uchafu wote unaofanyika utaanikwa dunia nzima
Hii nchi haijitegemei, Inasaidiwa tu, subiri yatakayokujaHalafu ukianikwa?
Nipo hapa. Hakuna athari yoyote. Wapo China, wapo USSR , wapo Waarabu hawatuingilii kwenye siasa zetu. Hakuna kitakachobadilikaHii nchi haijitegemei, Inasaidiwa tu, subiri yatakayokuja
Endelea kuamini unachoaminiNipo hapa. Hakuna athari yoyote. Wapo China, wapo USSR , wapo Waarabu hawatuingilii kwenye siasa zetu. Hakuna kitakachobadilika
Nliyepiga picha.
2019+2020 haukuanikwa?? Nini kilibadilika?Pamoja na mambo mengine, Ushiriki wa Chadema utafanya uchaguzi huu ufuatiliwe Dunia nzima, hii maana yake ni kwamba uchafu wote unaofanyika utaanikwa dunia nzima
Naona umekaza mishipa ya shingo. Ina maana hatuoni upuuzi unaoendelea katika huo uchaguzi wa kishenzi?Msije baadaye mkasema mmedhulumiwa kura au kura zimeibwa.
Mnapoingia uwanjani ni kuwa mmekubaliana na sheria na taratibu za mchezo. Hakuna excuses za kipuuzi. Ni kupambana na kukubaliana na matokeo. Hakutakuwa na excuses ni mapambano. Mshindi apatikane.
Maana hamchelewi kusema mlinyanyaswa. Matokeo si yenyewe au sijui nini na nini. Kama mmeamua kushindana kwenye uchaguzi basi mmekubaliana na matokeo pia.
Kanuni ni zile zile za miaka yote hakuna jipya. Kama mlishinda before kwa kanuni hizi hizi mkishindwa pia mkubali. Maana hakuna ambacho kilinadilika.