Mikutano ya ndani ya kichama nani kawazuia? Unajua mikutano ya ndani ya chama?
Mbwiga kasome ibara ya 3 ya katiba ya JMT.Me nashauri vyama vifutwe tu tubaki na ccm
Mafuta yapande mapaka 100000 kwa lita moja
Tozo ziongezeke mara 100 zaidi ya sasa yaani angalau kutoa buku ulipie elf 500)
Bunge Liwe la ccm katiba itumike ya ccm labda kenge masikio yao na macho yao yataona na kusikia.
Sidhani kama kuna siku huwa unatumia akili.Idegenda the macholo!πππUkweli ni kuwa walishapoteza direction kwa muda wa miaka sita toka uchaguzi wa mwaka 2015 na mpaka sasa hawa gea ya kuwapa kick ya kuweza kuwini watanzania.
Wanataka kupitia hoja ya kudai katiba mpya kama njia ya kuonekana wanatetea wananchi ili kuchafua amani ya taifa letu.
Hawa watu ni watu wabaya sana tuwe nao makini. Maana wameshajua hakuna upenyo wa kuikaba serikali ya Ccm.
My take: They should be shackled by all means necessary.
Idugunde nikiwa Dar mapumzikoni baada ya kuvuna mpunga.
Watavurugika wao.Ukweli ni kuwa walishapoteza direction kwa muda wa miaka sita toka uchaguzi wa mwaka 2015 na mpaka sasa hawa gea ya kuwapa kick ya kuweza kuwini watanzania.
Wanataka kupitia hoja ya kudai katiba mpya kama njia ya kuonekana wanatetea wananchi ili kuchafua amani ya taifa letu.
Hawa watu ni watu wabaya sana tuwe nao makini. Maana wameshajua hakuna upenyo wa kuikaba serikali ya Ccm.
My take: They should be shackled by all means necessary.
Idugunde nikiwa Dar mapumzikoni baada ya kuvuna mpunga.
Upo sahihi kiongoziHii ni nchi ya chama kimoja.Tufute vyama vingi