CHADEMA wapo mitandaoni , je hao Chadema walipo mitandaoni ni maroboti sio WATU ?

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
32,386
Reaction score
83,431
Sisiemu huwa hawakubali kuwa hapendwi na kukubalika.

Mfano watakuambia kuwa Chadema wapo mitandaoni Sana.

Hii hoja mufulisi Ina maana watu waliopo mitandaoni ni maroboti.?
 
Viongozi wanagaragazwa wangekuwa watu si tungewaona kisutu...
 
Sisiemu huwa hawakubali kuwa hapendwi na kukubalika.

Mfano watakuambia kuwa Chadema wapo mitandaoni Sana.

Hii hoja mufulisi Ina maana watu waliopo mitandaoni ni maroboti.?
Kwa taarifa zenu Chadema, kila mtu kakamatwa, lakini bado mpo mitandaoni. Waliokamatwa ni kina nani?
 
Back
Top Bottom