DR HAYA LAND JF-Expert Member Joined Dec 26, 2017 Posts 32,386 Reaction score 83,431 Apr 24, 2025 #1 Sisiemu huwa hawakubali kuwa hapendwi na kukubalika. Mfano watakuambia kuwa Chadema wapo mitandaoni Sana. Hii hoja mufulisi Ina maana watu waliopo mitandaoni ni maroboti.?
Sisiemu huwa hawakubali kuwa hapendwi na kukubalika. Mfano watakuambia kuwa Chadema wapo mitandaoni Sana. Hii hoja mufulisi Ina maana watu waliopo mitandaoni ni maroboti.?
Farolito JF-Expert Member Joined Sep 10, 2018 Posts 15,126 Reaction score 35,515 Apr 24, 2025 #2 Sisiem ni laana tuikatae
kipara kipya JF-Expert Member Joined May 2, 2016 Posts 20,141 Reaction score 24,449 Apr 24, 2025 #3 DR HAYA LAND said: Sisiemu huwa hawakubali kuwa hapendwi na kukubalika. Mfano watakuambia kuwa Chadema wapo mitandaoni Sana. Hii hoja mufulisi Ina maana watu waliopo mitandaoni ni maroboti.? Click to expand... Viongozi wanagaragazwa wangekuwa watu si tungewaona kisutu...
DR HAYA LAND said: Sisiemu huwa hawakubali kuwa hapendwi na kukubalika. Mfano watakuambia kuwa Chadema wapo mitandaoni Sana. Hii hoja mufulisi Ina maana watu waliopo mitandaoni ni maroboti.? Click to expand... Viongozi wanagaragazwa wangekuwa watu si tungewaona kisutu...
M Mtoto wa Shule JF-Expert Member Joined Nov 16, 2014 Posts 21,572 Reaction score 15,610 Apr 24, 2025 #4 DR HAYA LAND said: Sisiemu huwa hawakubali kuwa hapendwi na kukubalika. Mfano watakuambia kuwa Chadema wapo mitandaoni Sana. Hii hoja mufulisi Ina maana watu waliopo mitandaoni ni maroboti.? Click to expand... Kwa taarifa zenu Chadema, kila mtu kakamatwa, lakini bado mpo mitandaoni. Waliokamatwa ni kina nani?
DR HAYA LAND said: Sisiemu huwa hawakubali kuwa hapendwi na kukubalika. Mfano watakuambia kuwa Chadema wapo mitandaoni Sana. Hii hoja mufulisi Ina maana watu waliopo mitandaoni ni maroboti.? Click to expand... Kwa taarifa zenu Chadema, kila mtu kakamatwa, lakini bado mpo mitandaoni. Waliokamatwa ni kina nani?