Sawa, lakini kusema kwamba wana akili sana kuliko wengineKwanza wapi kuna ajira au kujiajiri HGL na HGK? Hakuna chama cha HGL na HGK
Hao hao una wa judge kwa combination, mwishowe wanakuwa law man / woman, ndio wameonyesha msimamo update
Professionals ambao hawaja jipendekeza kwa mamlaka . Wame stick to their ethics
No offence but Hivyo vyama ambavyo vinamnunulia rais helicopter, vina mlipia mgombea fomu ya kugombea urais? Seriously
Hata 12,000 x 1,000,000 =12,000,000,000 per year ni fedha nyingi sn kama zitatumika vizuri kwa uwazi, CHADEMA inaweza kujenga hostel zake Dodoma/DarChadema inaweza kuendeshwa Kwa Ada za wanachama tu
12,000 x 8,000,000
Yaani buku kila mwezi ๐๐๐
Bila kuwa na wajinga CCM haiwezi kuwepoMtu kapita Havard mara mbili unamuita kilaza? Kweli hii nchi CCM ina mtaji mkubwa sana kwakweli, aisee nimecheka sana ๐
Zitatumika vizuri wale Wala Bata Mbowe na Mrema wamestaafu ๐Hata 12,000 x 1,000,000 =12,000,000,000 per year ni fedha nyingi sn kama zitatumika vizuri kwa uwazi, CHADEMA inaweza kujenga hostel zake Dodoma/Dar
Chama kinatakiwa kiwe na hotel zake Dom au Dar na kumbi za mikutano kwenye majiji makubwaZitatumika vizuri wale Wala Bata Mbowe na Mrema wamestaafu ๐
Siasa sio makelele ni pesa,Hata 12,000 x 1,000,000 =12,000,000,000 per year ni fedha nyingi sn kama zitatumika vizuri kwa uwazi, CHADEMA inaweza kujenga hostel zake Dodoma/Dar
Nimeanza kulewa tokea asubuhi kusherehekea ushindi wa LISSU na HECHE na wote waliochaguliwa.Zaifu=Dhaifu
Happy New Year ๐
Kamdomo, kamdomo,kamdomo , punguza kamdomo nyie ma ccm ,plan zenu zimeyeyuka kama barafu , safari hii, safari hii , kamdomo kenu ccm tutakaziba na cementi,Natoa tu angalizo Maana hata ODM ya Kenya ilijiegemeza sana Kwa Mawakili na Wanasheria ila sasa imekuwa Mdebwedo kama Matokeo ya huo ubia
Happy New Year Tundu Lisu
Ahsanteni sana ๐
Uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sn, chama kina marafiki nje ya nchi, kina ruzuku, kina wanachama wanaweza kuchangia hata 5,000,000 kwa mmoja na wengine hawana uwezo, toa mawazo ya Simba na Yanga kumtegemea mtu huku unawatu zaidi ya 10M ambao hata wangetoa tu elfu 10 kwa mwaka ungekuwa na zaidi ya 100B lakini kwa vile umeshindwa kuwaunganisha utaendelea kutegemea mtu.Siasa sio makelele ni pesa,
Hao wanachama walalahoi hata hizo buku buku haziwezi kuja kwa wakati time will tell.
watu wenye akili ni wenye uwezo wa kumiliki makampuni makubwa na kutengeneza mkwanja mrefu hao wengine nI wakawaida tuWale vilaza wa HKL na HGL ndio unaita wenye akili mkuu?๐
Ushawahi sikia Vyama vya Ma enginia
Madaktari
Manesi
Ma physicians
Ma Neurologist
Na Astronaut
Nk..
Ni kwamba TLS imeamua kuwa Chama cha harakati lakini kuhusu Akili, wapo wengi tu wenye akili nyingi kuwazidi.
Maybe not the smartet, but we all know mazingira yao yalivyo competitive.Sawa, lakini kusema kwamba wana akili sana kuliko wengine
ni uongo wa wazi sana
Tangu lini HKL,HGL wakawa na Akili kuliko watu wote? Acha comedy basiKuna Taasisi yenye watu wenye akili nchi hii kama TLS?
Weka Taasisi zote za nchi hii za Serikali na zisizo za Serikali hakuna Taasisi nchi hii yenye watu wenye akili na wanaojitambua kama TLS.
Baada ya TLS wanafuata JWTZ ingawa nao wanatakiwa kujirekebisha kidogo.
๐ฎ๐ฎKuna Taasisi yenye watu wenye akili nchi hii kama TLS?
Weka Taasisi zote za nchi hii za Serikali na zisizo za Serikali hakuna Taasisi nchi hii yenye watu wenye akili na wanaojitambua kama TLS.
Baada ya TLS wanafuata JWTZ ingawa nao wanatakiwa kujirekebisha kidogo.
Kuwa na akili inategemea definition yako, wengine kuiba ndio akili, kuteka na kuua akili, uchawa akili.Wale vilaza wa HKL na HGL ndio unaita wenye akili mkuu?๐
Ushawahi sikia Vyama vya Ma enginia
Madaktari
Manesi
Ma physicians
Ma Neurologist
Na Astronaut
Nk..
Ni kwamba TLS imeamua kuwa Chama cha harakati lakini kuhusu Akili, wapo wengi tu wenye akili nyingi kuwazidi.
Huyo akishakunywa visungura vyake akipozea na lager moja ya baridi anakuwa na ulimwengu wake peke yake.Wewe mnyalu, uwe unajisomea kukuza uelewa wako. Dunia nzima hasa dunia iliyoendelea hasa Western, kwa nini wameendelea kiutawala? Ni kwa sababu ya kua Lawyers wengi ndiyo wanatawala nchi na sehemu nyeti za serikali na Taasisi za umma na zisizo za umma. Ndiyo maana unaona watu wako bright, na Maendeleo yapo, na wako wako reasonable.
Sijasomea sheria lakini hili nalijua
Natoa tu angalizo Maana hata ODM ya Kenya ilijiegemeza sana Kwa Mawakili na Wanasheria ila sasa imekuwa Mdebwedo kama Matokeo ya huo ubia
Happy New Year Tundu Lisu
Ahsanteni sana ๐
ERB huwezi fananisha na TLS kwa muundo wa vyama na utendaji kazi wao Heshimu TLSWale vilaza wa HKL na HGL ndio unaita wenye akili mkuu?๐
Ushawahi sikia Vyama vya Ma enginia
Madaktari
Manesi
Ma physicians
Ma Neurologist
Na Astronaut
Nk..
Ni kwamba TLS imeamua kuwa Chama cha harakati lakini kuhusu Akili, wapo wengi tu wenye akili nyingi kuwazidi.