Fortilo
JF-Expert Member
- Apr 10, 2012
- 5,807
- 17,416
Sawa, lakini kusema kwamba wana akili sana kuliko wengineKwanza wapi kuna ajira au kujiajiri HGL na HGK? Hakuna chama cha HGL na HGK
Hao hao una wa judge kwa combination, mwishowe wanakuwa law man / woman, ndio wameonyesha msimamo update
Professionals ambao hawaja jipendekeza kwa mamlaka . Wame stick to their ethics
No offence but Hivyo vyama ambavyo vinamnunulia rais helicopter, vina mlipia mgombea fomu ya kugombea urais? Seriously
ni uongo wa wazi sana