CHADEMA wasipojiangalia watakuwa kama TAWI la Tanganyika Law Society, nawaona Marais wastaafu Wawili wa TLS Uongozini na Mawakili kibao!

CHADEMA wasipojiangalia watakuwa kama TAWI la Tanganyika Law Society, nawaona Marais wastaafu Wawili wa TLS Uongozini na Mawakili kibao!

Kwanza wapi kuna ajira au kujiajiri HGL na HGK? Hakuna chama cha HGL na HGK

Hao hao una wa judge kwa combination, mwishowe wanakuwa law man / woman, ndio wameonyesha msimamo update
Professionals ambao hawaja jipendekeza kwa mamlaka . Wame stick to their ethics

No offence but Hivyo vyama ambavyo vinamnunulia rais helicopter, vina mlipia mgombea fomu ya kugombea urais? Seriously
Sawa, lakini kusema kwamba wana akili sana kuliko wengine
ni uongo wa wazi sana
 
Hata 12,000 x 1,000,000 =12,000,000,000 per year ni fedha nyingi sn kama zitatumika vizuri kwa uwazi, CHADEMA inaweza kujenga hostel zake Dodoma/Dar
Siasa sio makelele ni pesa,

Hao wanachama walalahoi hata hizo buku buku haziwezi kuja kwa wakati time will tell.
 
Zaifu=Dhaifu

Happy New Year 😄
Nimeanza kulewa tokea asubuhi kusherehekea ushindi wa LISSU na HECHE na wote waliochaguliwa.

Nasubiri kwa hamu Dr.Slaa arejee rasmi CHADEMA tuanze mapambano✌️✌️
 
Natoa tu angalizo Maana hata ODM ya Kenya ilijiegemeza sana Kwa Mawakili na Wanasheria ila sasa imekuwa Mdebwedo kama Matokeo ya huo ubia

Happy New Year Tundu Lisu

Ahsanteni sana 😄
Kamdomo, kamdomo,kamdomo , punguza kamdomo nyie ma ccm ,plan zenu zimeyeyuka kama barafu , safari hii, safari hii , kamdomo kenu ccm tutakaziba na cementi,
 
Siasa sio makelele ni pesa,

Hao wanachama walalahoi hata hizo buku buku haziwezi kuja kwa wakati time will tell.
Uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sn, chama kina marafiki nje ya nchi, kina ruzuku, kina wanachama wanaweza kuchangia hata 5,000,000 kwa mmoja na wengine hawana uwezo, toa mawazo ya Simba na Yanga kumtegemea mtu huku unawatu zaidi ya 10M ambao hata wangetoa tu elfu 10 kwa mwaka ungekuwa na zaidi ya 100B lakini kwa vile umeshindwa kuwaunganisha utaendelea kutegemea mtu.
 
Wale vilaza wa HKL na HGL ndio unaita wenye akili mkuu?😂

Ushawahi sikia Vyama vya Ma enginia
Madaktari
Manesi
Ma physicians
Ma Neurologist
Na Astronaut
Nk..
Ni kwamba TLS imeamua kuwa Chama cha harakati lakini kuhusu Akili, wapo wengi tu wenye akili nyingi kuwazidi.
watu wenye akili ni wenye uwezo wa kumiliki makampuni makubwa na kutengeneza mkwanja mrefu hao wengine nI wakawaida tu
 
Kuna Taasisi yenye watu wenye akili nchi hii kama TLS?

Weka Taasisi zote za nchi hii za Serikali na zisizo za Serikali hakuna Taasisi nchi hii yenye watu wenye akili na wanaojitambua kama TLS.

Baada ya TLS wanafuata JWTZ ingawa nao wanatakiwa kujirekebisha kidogo.
Tangu lini HKL,HGL wakawa na Akili kuliko watu wote? Acha comedy basi
 
Kuna Taasisi yenye watu wenye akili nchi hii kama TLS?

Weka Taasisi zote za nchi hii za Serikali na zisizo za Serikali hakuna Taasisi nchi hii yenye watu wenye akili na wanaojitambua kama TLS.

Baada ya TLS wanafuata JWTZ ingawa nao wanatakiwa kujirekebisha kidogo.
🚮🚮
 
Hii inanikumbusha NCCR ile ya kwanza, ya wakina Lamwai, Marando, Tenga, Safari, ..
Walikuwa tishio, sema ukiwajaza wengi wanakuwa kikwazo! Na wananunulika kirahisi!
 
Wale vilaza wa HKL na HGL ndio unaita wenye akili mkuu?😂

Ushawahi sikia Vyama vya Ma enginia
Madaktari
Manesi
Ma physicians
Ma Neurologist
Na Astronaut
Nk..
Ni kwamba TLS imeamua kuwa Chama cha harakati lakini kuhusu Akili, wapo wengi tu wenye akili nyingi kuwazidi.
Kuwa na akili inategemea definition yako, wengine kuiba ndio akili, kuteka na kuua akili, uchawa akili.
 
Wewe mnyalu, uwe unajisomea kukuza uelewa wako. Dunia nzima hasa dunia iliyoendelea hasa Western, kwa nini wameendelea kiutawala? Ni kwa sababu ya kua Lawyers wengi ndiyo wanatawala nchi na sehemu nyeti za serikali na Taasisi za umma na zisizo za umma. Ndiyo maana unaona watu wako bright, na Maendeleo yapo, na wako wako reasonable.

Sijasomea sheria lakini hili nalijua
Huyo akishakunywa visungura vyake akipozea na lager moja ya baridi anakuwa na ulimwengu wake peke yake.
 
Natoa tu angalizo Maana hata ODM ya Kenya ilijiegemeza sana Kwa Mawakili na Wanasheria ila sasa imekuwa Mdebwedo kama Matokeo ya huo ubia

Happy New Year Tundu Lisu

Ahsanteni sana 😄

..sio TLS itakuwa moja ya kanda za Chadema?
 
Wale vilaza wa HKL na HGL ndio unaita wenye akili mkuu?😂

Ushawahi sikia Vyama vya Ma enginia
Madaktari
Manesi
Ma physicians
Ma Neurologist
Na Astronaut
Nk..
Ni kwamba TLS imeamua kuwa Chama cha harakati lakini kuhusu Akili, wapo wengi tu wenye akili nyingi kuwazidi.
ERB huwezi fananisha na TLS kwa muundo wa vyama na utendaji kazi wao Heshimu TLS
 
Back
Top Bottom