Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 37,630
- 47,434
Jana nilikwenda kumsalimia ndugu yangu Kibamba nikasikia kwenye gari la kampeni za uchaguzi serikali za mitaa gari lilikuwa la chadema.
Kuna baadhi ya chenja wametohoa na wanazipiga katika gari lao la mikutano.
Nilisikitika maana naona ni kama kutaka kuleta mambo ya siasa kwenye majeshi yetu.
Sioni afya katika jambo hili. Hizi chenja za kijeshi ziache kutoholewa na kutumika kwenye kampeni za kisiasa.