Kennedy
JF-Expert Member
- Dec 28, 2011
- 54,894
- 64,043
Majeshi Nyimbo Yalizitoa Wapi Mkuu ?Wanatuharibia majeshi yetu kwa nyimbo zao.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Majeshi Nyimbo Yalizitoa Wapi Mkuu ?Wanatuharibia majeshi yetu kwa nyimbo zao.
Huyo hajalogwa.Kaiba vibuyu vya mganga.UWT wanalogana sn huenda wenzake wamemloga
Kwani isipige marufuku kuiba kura pamoja na kuengua wapinzani?Tume ya uchaguzi izipige marufuku hizi nyimbo.
Kwa hiyo vyama vya siasa siyo watu ni ngedere?Sio za vyama vya siasa.
We UWT utajulia wapi? badala ya kuandaa uchaguzi mmeandaa maigizo tupuUnavyoandika ni kama hutumii kichwa chako sawa sawa.
Nani kaibiwa kura??
Mbona wewe pimamaji yako haina maji na hatukufokei?Unavyoandika ni kama hutumii kichwa chako sawa sawa.
Nani kaibiwa kura??
Nabisha.Kwa hiyo jana ulipokuwa kijiweni ukasikia neno chenja kutoka Kwa wanafunzi walioenda JKT baada ya kumaliza form 6 ukaenda nyumbani huku ukilisema hilo neno kimoyomoyo ili usilisahau Kwa minajilinya kulitumia kuufungua uzi humu siyo.
Bisha uone cha moto.
Kwanini mnawaengua si muache wananchi wawakatae? shame on youMaigizo wanafanya Chadema kwa kuwadanganya watu wakati hawana lolote la kuwasaidia nalo.
Mtu hana majority popote ataweza kufanya nini??
Basi tuambie chenja maana yake ni nini.Nabisha.
Anawaza uchenjuaji wa makinikia huyo.Basi tuambie chenja maana yake ni nini.
Utajulia wapi wewe dada angu! wewe piga pambio wenzako wakati wanakula nchi ubaki na ufukara wakoNani kaenguliwa na wapi??