KabisaPointless mkuu
Kamusi ya hapa kijijini kwetu haina neno chenja.Niiuze au nibaki nayo?Jana nilikwenda kumsalimia ndugu yangu Kibamba nikasikia kwenye gari la kampeni za uchaguzi serikali za mitaa gari lilikuwa la chadema.
Kuna baadhi ya chenja wametohoa na wanazipiga katika gari lao la mikutano.
Nilisikitika maana naona ni kama kutaka kuleta mambo ya siasa kwenye majeshi yetu.
Sioni afya katika jambo hili. Hizi chenja za kijeshi ziache kutoholewa na kutumika kwenye kampeni za kisiasa.
Mwambie UWT mwenzioUnadhani Majeshi Duniani kote hayafanyi Siasa?
Huna akiliJana nilikwenda kumsalimia ndugu yangu Kibamba nikasikia kwenye gari la kampeni za uchaguzi serikali za mitaa gari lilikuwa la chadema.
Kuna baadhi ya chenja wametohoa na wanazipiga katika gari lao la mikutano.
Nilisikitika maana naona ni kama kutaka kuleta mambo ya siasa kwenye majeshi yetu.
Sioni afya katika jambo hili. Hizi chenja za kijeshi ziache kutoholewa na kutumika kwenye kampeni za kisiasa.
Mwenyewe nimeshangaa snKamusi ya hapa kijijini kwetu haina neno chenja.Niiuze au nibaki nayo?
Unamuonea mkuu!Huna akili
Huyu kuruta ana shida sehemu ya mwili wake.Si bure.Mwenyewe nimeshangaa sn
Hapa JF Kuna uhalisia mwingi haujulikani ππMwambie UWT mwenzio
Wewe hata sungusungu haujawahi kuhudhuria mafunzo yao.Umejuaje yanaharibiwa?Wanatuharibia majeshi yetu kwa nyimbo zao.
UWT wanalogana sn huenda wenzake wamemlogaHuyu kuruta ana shida sehemu ya mwili wake.Si bure.
YapHapa JF Kuna uhalisia mwingi haujulikani ππ
Kwani wewe unavyochezaga wimbo wa "tieni tieni kwa moyo mmoja" au "ndiyenandiyena" huwa unajua unachotia?Akili zenu kawashikia mbowe.