Kwahiyo kama ni kweli ni polisi, polisi haruhusiwi kuwa mfuasi wa chadema wala kusikiliza kesi,au point husika hapa ni ipi??
Kwa mambo iliyotengenezwa na watawala hamna kuaminiana, wapo sahihi kwa madhira wanayofanyiwa.Hivi polisi akiwa off, hana haki ya kwenda kusikiliza kesi mahakamani kama raia wengine? Au mtu akiwa polisi anapoteza haki nyingine zote?
Chadema msijekuwa mnafukuza malaika mkidhani ni shetani!
Umesomea wapi?Kwahiyo kama ni kweli ni polisi, polisi haruhusiwi kuwa mfuasi wa chadema wala kusikiliza kesi,au point husika hapa ni ipi??
Nafikiri hilo sio shida, shida ipo kujifanya mfuasi wakati sioKwahiyo kama ni kweli ni polisi, polisi haruhusiwi kuwa mfuasi wa chadema wala kusikiliza kesi,au point husika hapa ni ipi??
Kumchukia mtu nayo ni haki ya kikatiba.sio lazima kumoenda mtu yeyote.Kwa kifupi polisiccm wanachukiwa sana
Hadi huku mtaani
kwani ili awe mfuasi anatakiwa asiwe polisi??kwani chadema wanajua kazi za wafuasi wao wote???Nafikiri hilo sio shida, shida ipo kujifanya mfuasi wakati sio
Kwamba chadema ndio wamejua leo kwamba wanafuatiliwa😂😂,ujute hapo wako 5,wamemhisi mmoja tu.Kwa mambo iliyotengenezwa na watawala hamna kuaminiana, wapo sahihi kwa madhira wanayofanyiwa.
Police yanawahusu ya ccm ya chadema yanawahusu niniKwahiyo kama ni kweli ni polisi, polisi haruhusiwi kuwa mfuasi wa chadema wala kusikiliza kesi,au point husika hapa ni ipi??