Mkuu nilikuwa natoa angalizo tu kwamba yawezekana ni askari mwenye mapenzi mema na Lisu pamoja na mabadilikoEti unasemaje, mkuu 'sex''? Huyo polisi anaweza kuwa off-kimavazi huku akiwa kazini?
Nami ngoja nikoleze hoja yako kwa kuwasihi CHADEMA wawakaribishe na wenzao ccm humo mahakamani kusikiliza kesi.
Kimsingi hakuna la kushangaza sana ikitokea hivyo; na nadhani kwa maoni yako hapo mahala patakuwepo na undugu mkubwa sana baina yao.
Sasa kwa polisi, katika mazingira ya sasa wanayopitia CHADEMA; nadhani unapendekeza hawa watu wageuke kuwa malaika.
Inawezekana; na sina shaka yoyote wapo polisi wengi sana walio na hali hiyo. Lakini, kutokana na uhalisia ulivyo sasa; mtu wa namna hiyo kujichanganya tu kwenye kundi linaloteswa, bila hata ya baadhi ya hao wanaoteswa kujuwa anasimamia wapi; hapo ni kutaka tu kuwatupia lawama CHADEMA.Mkuu nilikuwa natoa angalizo tu kwamba yawezekana ni askari mwenye mapenzi mema na Lisu pamoja na mabadiliko
Ni ujinga wao waangalie na kusikiliza kama Kesi imeenda sawa sawa haya mambo ya kujifanya mnachukia kila mtu kwa kigezo cha kuwaona ni wa Serikali ni kujipunguzia ushirikiano wa kitaasisiWafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wakiwa ndani ya chumba cha Mahakama Kuu Masjala Ndogo ya Dar es Salaam wakiomba kutolewa nje mtu mmoja aliyedhaniwa ni askari ambaye ameenda kukaa katika benchi la wafuasi hao
Leo Septemba 8, 2025 Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu anapandishwa kizimbani mahakamani hapo kwa ajili ya usikilizwaji wa awali (preliminary hearing) wa kesi ya uhaini inayomkabili
Chanzo: Mwananchi_official
Angepekuliwa hakosi kitambulishoKwahiyo kama ni kweli ni polisi, polisi haruhusiwi kuwa mfuasi wa chadema wala kusikiliza kesi,au point husika hapa ni ipi??
Nimeshaibiwa ila hao polisi hawakusaidia chochote na walikula laki 2.5 zangu na bado wakadai nyingine na huku kazi hawakufanikisha.Hujawahi ibiwa hata simu mkuu ndio maana unaandika haya.
Unaanza kufuatiliwa baadae unatekwa unalawitiwa alafu unatupwa msituni. Nani yupo tayari kupakwa wese mzee?kuhusu kutekwa unazuiaje mbinu za watekaji kwa kupiga makelele kwamba umeshtuka uko na polisi mahakamani😁😁
Hapana, ilipaswa kufeel safe around the police not otherwiseKuhisi hauko safe ni akili za kawaida kabisa,usikae kizembe hata siku moja.
uwe karibu na polisi,jambazi au hata hao chadema wenzio kaa kimkakati.
Ngoja siku uingie 18 za polisi ndio utaelewa kwanini watu wanakosa amani wakiwa karibu na polisi.Ni ujinga wao waangalie na kusikiliza kama Kesi imeenda sawa sawa haya mambo ya kujifanya mnachukia kila mtu kwa kigezo cha kuwaona ni wa Serikali ni kujipunguzia ushirikiano wa kitaasisi
Kwanini uliwapa hela kufanya kazi ambayo wanalipwa kwayo??unaona namna ambavyo unakuwa mshirika wa mabaya amabyo polisi wanalalamikiwa nayo??unatoa hela ili kuhalalisha nini??Nimeshaibiwa ila hao polisi hawakusaidia chochote na walikula laki 2.5 zangu na bado wakadai nyingine na huku kazi hawakufanikisha.
mkuu,kama watu wana nia ya kukuteka wakupake wese,niamini mimi wala huwezi shtuka,lah sivyo unajua kibaya kulichokifanya.Unaanza kufuatiliwa baadae unatekwa unalawitiwa alafu unatupwa msituni.
Swala la kufeel safe polisi ni la kiasili,haliwezi kuondolewa kwa style hiyo,kama huamini ushikwe kwa tuhuma za wizi halafu uone polisi wanatokeza,utashukuru badala ya kulia.Nani yupo tayari kupakwa wese mzee?
Hapana, ilipaswa kufeel safe around the police not otherwise
Unaandika ukiwa wapi? Polisi wa CCM anawezaje kuwa CHADEMA!? Kada zote zinaweza kuwa na wanachadema ila siyo polisiKwahiyo kama ni kweli ni polisi, polisi haruhusiwi kuwa mfuasi wa chadema wala kusikiliza kesi,au point husika hapa ni ipi??
Shetani hafananishwi na malaikaHivi polisi akiwa off, hana haki ya kwenda kusikiliza kesi mahakamani kama raia wengine? Au mtu akiwa polisi anapoteza haki nyingine zote?
Chadema msijekuwa mnafukuza malaika mkidhani ni shetani!
Bado haiwezi kumfanya akaenda mahakamani kwa ujasiri huoWacha nikwambie,polisi wapo,nguo zote wanavaa hata za ccm,tofauti yao na wewe hawavai ili wapendeze.