CHADEMA Wataka Lema Apewe Wenyekiti wa Chama Taifa Ili kukivusha Chama na kukiondoa katika Makucha ya wanaharakati uchwara

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2022
Posts
40,476
Reaction score
26,173
Ndugu zangu Watanzania,

Hiyo ndio habari ya Mjini kwa sasa ambapo wana CHADEMA wana taka Lema apewe mikoba ya Wenyekiti wa Chama Taifa ili awavushe na kukiunganisha chama.

Wanaona Lema ni mtu sahihi mwenye uwezo wa kurejesha umoja nidhamu na kukiondoa chama kutoka mikononi Mwa Wanaharakati Uchwara na kukiweka mikononi Mwa wanachama.

Wana CHADEMA wanaona Lema ni mtu sahihi kuweza kurejesha imani ya watu kwa chama ili walau kianze kuaminika tena na kukifanya walau kupata wawakilishi ngazi za halmashauri na Bungeni katika uchaguzi ujao.

Wanaona Lema anaweza kukipa chama Dira na muelekeo wa kueleweka kuliko sasa ambapo chama kimepoteza Dira na muelekeo na kwenda kwenda utafikiri kipofu Gizani .

Hivyo kampeni zinaendelea Mitaa na kwenye vijiwe vya CHADEMA kuhakikisha Mabadiliko yanafanyika ili Lema anyakue na kupewa kwa kuchaguliwa kuwa mwenyekiti

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania Wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
 
Attachments

  • 6429167-4379e723897040c642f3e3d6da3950de.mp4
    37.1 MB
  • 6405238-eae1ceee959bf6fd97d9fb2eab102cc4.mp4
    9.2 MB
  • 6415691-4b4d6201ed6b5b5735c16b5fa650b075.mp4
    19.1 MB
Ndugu zangu Watanzania,

Hiyo ndio habari ya Mjini kwa sasa ambapo wana CHADEMA wana taka Lema apewe mikoba ya Wenyekiti wa Chama Taifa ili awavushe na kukiunganisha chama.

Wanaona Lema ni mtu sahihi mwenye uwezo wa kurejesha umoja nidhamu na kukiondoa chama kutoka mikononi Mwa Wanaharakati Uchwara na kukiweka mikononi Mwa wanachama.

Wana CHADEMA wanaona Lema ni mtu sahihi kuweza kurejesha imani ya watu kwa chama ili walau kianze kuaminika tena na kukifanya walau kupata wawakilishi ngazi za halmashauri na Bungeni katika uchaguzi ujao.

Wanaona Lema anaweza kukipa chama Dira na muelekeo wa kueleweka kuliko sasa ambapo chama kimepoteza Dira na muelekeo na kwenda kwenda utafikiri kipofu Gizani .

Hivyo kampeni zinaendelea Mitaa na kwenye vijiwe vya CHADEMA kuhakikisha Mabadiliko yanafanyika ili Lema anyakue na kupewa kwa kuchaguliwa kuwa mwenyekiti

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania Wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.

Lema ni CCM na anapokea vipesa halo lipo wazi, acha shobo .

Lema na genge lake yote wanayofanya yanafahamika
 
Ondoa Unyumbu wako hapa wewe. Lema ni Mzalendo wa kweli kwa CHADEMA na ameipigania sana CHADEMA
 
Catombwe na huyo shoga mwenzako.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Hiyo ndio habari ya Mjini kwa sasa ambapo wana CHADEMA wana taka Lema apewe mikoba ya Wenyekiti wa Chama Taifa ili awavushe na kukiunganisha chama.

Wanaona Lema ni mtu sahihi mwenye uwezo wa kurejesha umoja nidhamu na kukiondoa chama kutoka mikononi Mwa Wanaharakati Uchwara na kukiweka mikononi Mwa wanachama.

Wana CHADEMA wanaona Lema ni mtu sahihi kuweza kurejesha imani ya watu kwa chama ili walau kianze kuaminika tena na kukifanya walau kupata wawakilishi ngazi za halmashauri na Bungeni katika uchaguzi ujao.

Wanaona Lema anaweza kukipa chama Dira na muelekeo wa kueleweka kuliko sasa ambapo chama kimepoteza Dira na muelekeo na kwenda kwenda utafikiri kipofu Gizani .

Hivyo kampeni zinaendelea Mitaa na kwenye vijiwe vya CHADEMA kuhakikisha Mabadiliko yanafanyika ili Lema anyakue na kupewa kwa kuchaguliwa kuwa mwenyekiti

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania Wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Mwisho akakiuze kwa chama tawala kama lipumba na cuf
 
Hakuna Cha maridhhiano hizo pesa alizokula na genge lako mtazitapika zitokee.kweny vinyeo
 
Back
Top Bottom