Michosho
JF-Expert Member
- Mar 17, 2012
- 662
- 649
Najaribu kijiuliza sioni jipya watakalokujanalo kwa wananchi, kama ni ufisadi, mgao wa umeme, utendaji mbovu wa baadhi ya watendaji wa serikali vyote vilikemewa na kudhibitiwa na serikali CCM wakati wa JPM.
Zaidi Mbowe yeye alikuwa analazimisha wananchi wafungiwe ndani (lockdown) kipindi vha Covid, na tena wakasusa bungeni.
Baadae kuwalazimisha wananchi wote wachanje chanjo ya Covid, ujinga mtupu
Binafsi sioni jipya CHADEMA watakalokuja nalo la kunishawishi zaidi ya kuwaona ni wachumia tumbo tu.
Bora kubaki na CCM tu lakini siyo akina CHADEMA. Katiba mpya wanayodai ni kwa ajili ya matumbo yao na si kwa ajili ya watanzani kama wanavyojinadi.
Wanafiki wakubwa katika nchi hii.