CHADEMA watakuja na sera ipi mpya kwenye mikutano yao?

Najaribu kijiuliza sioni jipya watakalo Kuja nalo Kwa wananchi.kama ni ufisadi, mgao wa umeme, utendaji mbovu wa baadhi ya watendaji wa serikali vyote vilikemewa na kudhibitiwa na serikali CCM wakati wa JPM.

Zaidi MBOWE yeye alikuwa analazimisha wananchi wafungiwe ndani (lockdown)kipindi Cha COVID,na Tena wakasusa bungeni.

Baadae kuwalazimisha wananchi wote wachanje chanjo ya COVID.Ujinga mtupu

Binafsi sioni jipya CHADEMA watakalokuja nalo la kunishawishi zaidi ya kuwaona ni wachumia tumbo tu.

Bora kubaki na CCM tu lakini siyo akina CHADEMA.Katiba mpya wanayodai ni Kwa ajili ya matumbo yao na SI Kwa ajili ya watanzani km wanavyojinadi.wanafiki wakubwa katika nchi hii.

Wewe Baki CCM chama Cha mikopo na matozo.
 
Ukweli mchungu ni kwamba wananchi wanaichukia CHADEMA kuliko hata wanavyoichukia CCM .kuna haja ya Mbowe kuachia Chama kiuhalisia siyo mpinzani wa kweli .

Hao wananchi watakuwa na mapungufu.
Wanaichukia CHADEMA isiyokuwepo bungeni, halmashauri, vijiji na mitaa. Yani CCM imehodhi mamlaka zote za maamuzi, waendelee kuipenda ccm kwani Kuna shida gani?
 
Naona asilimia 90 za nyuzi ni kuhusu CHADEMA, sijui wakianza mikutano itakuwaje.
Hawana ujumbe Kwa wananchi utakao wafanya wawapokee km zamani.Watu wameshawashitukia kuwa ni wachumia tumbo tu na SI watetezi wa wananchi km walivyojiuza zamani kwao.

Nao madalali wa nchi hii tu.Mbowe alikuwa anafanya nini huko Kwa wazungu??
 
Ukweli mchungu ni kwamba wananchi wanaichukia CHADEMA kuliko hata wanavyoichukia CCM .kuna haja ya Mbowe kuachia Chama kiuhalisia siyo mpinzani wa kweli .
Wakiacha ukabila najiunga Chadema.

Mbowe amwachie Heche au Tundu
 
Kila watakacho Kuja nacho, JPM alidhubutu kufanya Kwa taifa hili.Na huwezi ongea matatizo ya nchi hii bila kuongea jitihada za JPM katika kuziondoa.

Sasa wataawaambia nini wananchi Ili wawaelewe??na JPM walimpiga vita??Bora wangeungana nae kupinga ufisadi Leo hii wangepata Cha kuongea.

Chochote watakachoongea lazima waonekane waongo na wanafiki.

Punguza kimbele mbele, mikutano Bado haijanza umeanza kutetemeka subiri. Halafu huyo Magufuli mbona kipindi chake Maisha yalikuwa magumu ajira hamna mfumuko wa Bei. Mpaka akaharibu uchaguzi wa 2020. Usiongee kana kwamba tulikuwa tunaishi mbinguni
 
If you can't beat them.
Join them

Utaona hii strategy itavowork
 
Najaribu kijiuliza sioni jipya watakalo Kuja nalo Kwa wananchi.kama ni ufisadi, mgao wa umeme, utendaji mbovu wa baadhi ya watendaji wa serikali vyote vilikemewa na kudhibitiwa na serikali CCM wakati wa JPM.

Zaidi MBOWE yeye alikuwa analazimisha wananchi wafungiwe ndani (lockdown)kipindi Cha COVID,na Tena wakasusa bungeni.

Baadae kuwalazimisha wananchi wote wachanje chanjo ya COVID.Ujinga mtupu

Binafsi sioni jipya CHADEMA watakalokuja nalo la kunishawishi zaidi ya kuwaona ni wachumia tumbo tu.

Bora kubaki na CCM tu lakini siyo akina CHADEMA.Katiba mpya wanayodai ni Kwa ajili ya matumbo yao na SI Kwa ajili ya watanzani km wanavyojinadi.wanafiki wakubwa katika nchi hii.

Haya ndio matamanio ya kila mwanaccm, na ikitokea CDM wakawa wanajaza watu kwenye mikutano yao. Mara moja mama Samia ataanza kulaumiwa na wañaccm wenzake kwa kuruhusu CCM kuishi kwa shida, kwani kwa sasa CCM imechoka na haina uwezo tena wa ushindani wa hoja. Hivyo kutatafutwa lugha chache za wanachama wake zitakazokosa staha kwa mtazamo wao, ili kuzuia mikutano hiyo ya hadhara tena.
 
Naona asilimia 90 za nyuzi ni kuhusu CHADEMA, sijui wakianza mikutano itakuwaje.

Wameshaweka eneo la kuzuia mikutano ya CDM, kifungu hicho kinaitwa lugha ya staha. Lugha ya staha ni iwapo utasemwa ukweli unaowaumiza CCM, siku ikitokea mfuasi yoyote wa CDM aongee lugha za kuwakera CCM, hayo yataitwa matusi.

Inshort CCM hawajaridhika na maamuzi ya mwenyekiti wao, hivyo hapo walipo wanaomba sana mikutano ya CDM ikose watu. Lakini ikijaza watu huku yao ikibidi itumike nguvu kubwa, lazima itapigwa pini tena.
 
Najaribu kijiuliza sioni jipya watakalokujanalo kwa wananchi, kama ni ufisadi, mgao wa umeme, utendaji mbovu wa baadhi ya watendaji wa serikali vyote vilikemewa na kudhibitiwa na serikali CCM wakati wa JPM.

Zaidi Mbowe yeye alikuwa analazimisha wananchi wafungiwe ndani (lockdown) kipindi vha Covid, na tena wakasusa bungeni.

Baadae kuwalazimisha wananchi wote wachanje chanjo ya Covid, ujinga mtupu

Binafsi sioni jipya CHADEMA watakalokuja nalo la kunishawishi zaidi ya kuwaona ni wachumia tumbo tu.

Bora kubaki na CCM tu lakini siyo akina CHADEMA. Katiba mpya wanayodai ni kwa ajili ya matumbo yao na si kwa ajili ya watanzani kama wanavyojinadi.

Wanafiki wakubwa katika nchi hii.
Si mnasema Chadema ilishajifia
 
Kila watakacho Kuja nacho, JPM alidhubutu kufanya Kwa taifa hili.Na huwezi ongea matatizo ya nchi hii bila kuongea jitihada za JPM katika kuziondoa.

Sasa wataawaambia nini wananchi Ili wawaelewe??na JPM walimpiga vita??Bora wangeungana nae kupinga ufisadi Leo hii wangepata Cha kuongea.

Chochote watakachoongea lazima waonekane waongo na wanafiki.
Yaani kwakwwli wako pabaya makosa yao huwa yanajirudia rudia.Ya Lowasa hivyo hivyo walimtukana sana baadae wakamtakasa JPM naye wamemsema sana sasa sijui wataaanzaje kumtakasa .
 
Ukweli mchungu ni kwamba wananchi wanaichukia CHADEMA kuliko hata wanavyoichukia CCM .kuna haja ya Mbowe kuachia Chama kiuhalisia siyo mpinzani wa kweli .
Chadema safari hii mpaka ikuchumbie[emoji1787]
 
Ukweli mchungu ni kwamba wananchi wanaichukia CHADEMA kuliko hata wanavyoichukia CCM .kuna haja ya Mbowe kuachia Chama kiuhalisia siyo mpinzani wa kweli .
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ukitaka kujua wananchi wanaipenda au hawaipendi we pitia tu comments za humu
 
Najaribu kijiuliza sioni jipya watakalokujanalo kwa wananchi, kama ni ufisadi, mgao wa umeme, utendaji mbovu wa baadhi ya watendaji wa serikali vyote vilikemewa na kudhibitiwa na serikali CCM wakati wa JPM.

Zaidi Mbowe yeye alikuwa analazimisha wananchi wafungiwe ndani (lockdown) kipindi vha Covid, na tena wakasusa bungeni.

Baadae kuwalazimisha wananchi wote wachanje chanjo ya Covid, ujinga mtupu

Binafsi sioni jipya CHADEMA watakalokuja nalo la kunishawishi zaidi ya kuwaona ni wachumia tumbo tu.

Bora kubaki na CCM tu lakini siyo akina CHADEMA. Katiba mpya wanayodai ni kwa ajili ya matumbo yao na si kwa ajili ya watanzani kama wanavyojinadi.

Wanafiki wakubwa katika nchi hii.
Mgao wa umeme,mfumuko wa bei na ufisadi vimedhibitiwa?.
You're not serious.
 
Najaribu kijiuliza sioni jipya watakalokujanalo kwa wananchi, kama ni ufisadi, mgao wa umeme, utendaji mbovu wa baadhi ya watendaji wa serikali vyote vilikemewa na kudhibitiwa na serikali CCM wakati wa JPM.

Zaidi Mbowe yeye alikuwa analazimisha wananchi wafungiwe ndani (lockdown) kipindi vha Covid, na tena wakasusa bungeni.

Baadae kuwalazimisha wananchi wote wachanje chanjo ya Covid, ujinga mtupu

Binafsi sioni jipya CHADEMA watakalokuja nalo la kunishawishi zaidi ya kuwaona ni wachumia tumbo tu.

Bora kubaki na CCM tu lakini siyo akina CHADEMA. Katiba mpya wanayodai ni kwa ajili ya matumbo yao na si kwa ajili ya watanzani kama wanavyojinadi.

Wanafiki wakubwa katika nchi hii.
Wewe Una mke wako (CCM) halafu unataka mke wa jirani yako (CDM) aishi kama unavyotaka wewe? Kama si Uzuzu ni nini?
 
Back
Top Bottom