LGE2024 CHADEMA watoa Orodha ya Matukio yanayoendelea Uchaguzi Serikali za Mitaa 2024

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Nilishangaa sana Mbowe aliposema CHADEMA haijitoi katika uchaguzi,huu ni uchaguzi?
Uongozi wa mtaa tu watu wanaua! Waafrika ni laana kubwa
 
Hii ni dalili mbaya kwa uchaguzi wa 2025. Wahusika wajirekebishe haraka vinginevyo hali itakuwa tete 2025.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…