CHADEMA watoa tamko baada ya viongozi wake kukamatwa wakiandamana: "Polisi wametumia nguvu kupita kiasi"

CHADEMA watoa tamko baada ya viongozi wake kukamatwa wakiandamana: "Polisi wametumia nguvu kupita kiasi"

Ukabila kazi kweli kweli haya matamko yanastahili kutolewa na Bwana Mnyika ila kwa kuwa hana vinasaba na mzee Mbowe ,Mrema ndio mtendaji mkuu wa chama🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️
Acha kufikiri Kwa kutumia masaburi wewe! Tumia ubongo wewe kima!
 
Ni lazima tumkemee mzee Mbowe , demokrasia sio kukumbatia kabila lako , mnaotaka kujifanya hamuoni mna matatizo ya akili hakika.Hivi unadhani kwanini vijana hawajajitokeza?
Wewe ni hopeless kabisa!
 
Umoja, Amani na Utulivu wa waTanzani utalindwa kwa nguvu zote na kwa gharama yoyote ile bila mbambamba ya mtu yeyote au kelele za nchi yoyote ile duniani.

wavuruga amani wapende au wasipende, hilo halina mjadala 🐒
Dunia ielewe hivyo 🐒
 
Attachments

  • downloadfile-1.jpg
    downloadfile-1.jpg
    298.8 KB · Views: 2
  • AMANI_053446.png
    AMANI_053446.png
    385.4 KB · Views: 2
  • 20240922_094712.jpg
    20240922_094712.jpg
    105 KB · Views: 2
  • 20240923_105848.jpg
    20240923_105848.jpg
    97.7 KB · Views: 2
Ukabila kazi kweli kweli haya matamko yanastahili kutolewa na Bwana Mnyika ila kwa kuwa hana vinasaba na mzee Mbowe ,Mrema ndio mtendaji mkuu wa chama🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️
Kwani Mnyika amemaliza kusali ?
1000012705.jpg
 
Back
Top Bottom