CHADEMA watueleze US$100,000 walizopewa na OpenSociety Nairobi kwa ajili ya kesi Mbowe zipo wapi?

Ritz

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2011
Posts
51,303
Reaction score
40,190
Wanaukumbi.
CHADEMA na Wanaharakati kama kwelli mnapenda haki na uwazi kuwa mfano kama mnataka kupewa dola watueleze US$100,000 takribani Tsh. 230m) mlizopewa na OpenSociety (Nairobi) kwa ajili ya kesi ya kushughukia kesi ya Freeman Mbowe, zimetumika kufanya nini?


Watanzania wapenda haki na wafuasi wenu wanataka kujua

Wanasubiri Majibu.

 
Wote mnao Iona haki kwenye pesa lazima dish zenu ziwe zimeyumba mbaya kabisa. 🤔🤔
 
Tupe kwanza ushahidi wa hizo hela ndo tuanze kuzifuatilia
 
Ritz wewe ni CCM, mambo ya CHADEMA yanakuhusu nini? Je mawakili unawalipa wewe?
 

Wewe ni CCM kindakindaki mambo ya CHADEMA yanakuhusu nini?.
 
Labda watakuwa wamengea ofisi, maana hawajawahi kuwa na ofisi hao!
 
Mnaulalia wazi mlango wa Chadema??🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…