CHADEMA watueleze US$100,000 walizopewa na OpenSociety Nairobi kwa ajili ya kesi Mbowe zipo wapi?

CHADEMA watueleze US$100,000 walizopewa na OpenSociety Nairobi kwa ajili ya kesi Mbowe zipo wapi?

Chadema wengi hawajui huu upigaji uzuri wafuasi wa Chadema wengi wao ni mateka marufuku kuhoji.
Kahoji ya ACT sasa. Au kwakua na kichochoro cha hangaya kupitishia tende mnazovimbiwa hapo Manyema?
 
Labda watakuwa wamengea ofisi, maana hawajawahi kuwa na ofisi hao!
Wewe unatamba na ofisi mlizopora wakati mfumo wa vyama vingi ulipoanza!! Hata aibu huna!!! Ofisi zote za CCM mlizopora zilijengwa wakati wa chama kimoja. Kila mwananchi alichangia ujenzi huo. Tena siyo ofisi tu bali hata viwanja vya michezo na shule.

Hivyo vyote vilitakiwa kuwa mali ya serikali wakati mfumo wa vyama vingi umeanza ili kila chama kijengwe na wanachama wake.
 
Bora CHADEMA, kuliko CCM wenye ofisi ya uzurumati. Yani uchangishe wananchi Halafu mfumo wa vyama vingi ulipoanza mkadai Ni Mali yenu, wakati mlichangisha wananchi matapeli wakubwa.
Tatizo la watoto waliozaliwa miaka ya 1990s hata hawajui history ya nchi hii na jinsi mfumo wa vyama vingi ulipoanza. Huwa inanikera sana vijana wa CCM wanapobeza vyama vingine hasa CHADEMA kuwa haina ofisi. Hawajui kuwa CCM ilipora kila kitu kilichojengwa kwa michango ya wananchi wote wakati wa chama kimoja. Ofisi, viwanja vya michezo, shule etc
 
Wewe ni CCM kindakindaki mambo ya CHADEMA yanakuhusu nini ?.
Lete ushahidi kama mimi ni CCM mimi ni raia wa kawaida muuza kahawa na kashata tatizo Pro-Chadema JF hamtaka kuhojiwa sijui kwa nini na kila anayehoji mnamuta CCM.
 
Nyie Chadema mnasema nyie na Mbowe kule gerezani mpo tayari kwa lolote kwanini mnaomba omba michango?
 
Wakati mwingine ni hekima kutojiingiza kwenye mijadala ya hovyo hovyo!
 
Nyie Chadema mnasema nyie na Mbowe kule gerezani mpo tayari kwa lolote kwanini mnaomba omba michango?
Inakuuma sana eeh?Weka link basi hapa maana Mimi sijachangia na kupitia Uzi huu nimejikuta nimeguswa kuchangia!
 
Bora CHADEMA, kuliko CCM wenye ofisi ya uzurumati. Yani uchangishe wananchi Halafu mfumo wa vyama vingi ulipoanza mkadai Ni Mali yenu, wakati mlichangisha wananchi matapeli wakubwa.
Aliyewaambia wahamie hivyo vyama ni nani? Ruksa kurudi CCM, na kama hutaki kurudi basi usilalamike, wewe songa mbele!
 
CCM inachukua 4B kila mwezi ruzuku lakini yupo kimya
Alichosema Zitto hadharani kutaka Mamlaka zimwachie Mbowe ndio statement ya wazi
Lakini ukweli Chadema ndiyo wanataka Mbowe asitoke kwani wamemgeuza Mwenyekiti wao chambo cha hela
Wanachangisha Fedha za “mawakili” lengo ni $300,000
Sawa na 800m
Wanagawana Daaah
 
Inakuuma sana eeh?Weka link basi hapa maana Mimi sijachangia na kupitia Uzi huu nimejikuta nimeguswa kuchangia!
Acheni kutumia hii kesikama njia ya kupiga pesa.
 
Acheni kutumia hii kesikama njia ya kupiga pesa.
Niweke link nami nichangie!Kumbambika kesi Mbowe na kumuweka ndani Bado hamjarudhika,mnapata wivu Hadi Kwa michangi tunayotoa Kwa hiari yetu,Shwain!
 
Alichosema Zitto hadharani kutaka Mamlaka zimwachie Mbowe ndio statement ya wazi
Lakini ukweli Chadema ndiyo wanataka Mbowe asitoke kwani wamemgeuza Mwenyekiti wao chambo cha hela
Wanachangisha Fedha za “mawakili” lengo ni $300,000
Sawa na 800m
Wanagawana Daaah
Unajua jopo la mawakili wa jamhuri wanalipwa sh ngapi ya Kodi zetu Kwa kesi ya mchongo???
 
Wanaukumbi.
Chadema na wanaharakati kama kwelli mnapenda haki na uwazi kuwa mfano kama mnataka kupewa dola watueleze US$100,000 takribani Tsh 230m) mlizopewa na OpenSociety (Nairobi) kwa ajili ya kesi ya kushughukia kesi ya Freeman Mbowe, zimetumika kufanya nini?

Watanzania wapenda haki na wafuasi wenu wanataka kujua

Wanasubiri Majibu.

View attachment 2110421
Ritzy huifahamu hadhi yako wala huja feel uzito wa hadhi yako ulishawahi kuwa first son mtoto wa rais siasa zako ni lazima ziondoke kwenye uvyama family yako imejengwa na watanzania wote hivyo tabu zao zikukuguse bila kujali vyama kuanza kuponda vyama vya upinzani au mwelekekeo wowote wa watz wenzako waachie machawa hupendezi kuwa chawa nakushauri Role Model wako awe Hussein Mwinyi mdomo wake haujawahi taka Chadema,Cuf wala kabila fulani kajikita kwenye utanzania zaidi.
Hadhi yako na uchawa haviendani
 
Unajua jopo la mawakili wa jamhuri wanalipwa sh ngapi ya Kodi zetu Kwa kesi ya mchongo???
Kwa hiyo na nyie mnapata excuse ya kupiga hela siyp daaah chama cha ukombozi
 
Mzee Mudi acha udini. Tanzania hakuna udini. Kungekuwa na udini rais mwenye ushungi angeshika madaraka? Toa udini wako, sisi wananchi tunaishi vizuri na wala hatuulizani dini zetu.
Wewe hujui, huyu Magufuli or for that matter CCM walimweka mgombea mwenza mwanamke na mwislamu so as to win wanawake votes and Muslims particularly in Zanzibar.
 
Wanaukumbi.
Chadema na wanaharakati kama kwelli mnapenda haki na uwazi kuwa mfano kama mnataka kupewa dola watueleze US$100,000 takribani Tsh 230m) mlizopewa na OpenSociety (Nairobi) kwa ajili ya kesi ya kushughukia kesi ya Freeman Mbowe, zimetumika kufanya nini?

Watanzania wapenda haki na wafuasi wenu wanataka kujua

Wanasubiri Majibu.

View attachment 2110421
Sijui iwapo unauliza swali ama unatujuza kuwa kuna msaada wa $ 100k toka open society kwa ajili ya kesi ya Mbowe.
Kesi ipo mahakamani na bado hadi muda huu ni mashahidi wa upande wa mashtaka wanaendelea kutoa ushahidi.
Upande wa utetezi bado kabisa. Na upande wa utetezi wana jopo la mawakili ambao wote wanalipwa
 
Back
Top Bottom