CHADEMA watueleze US$100,000 walizopewa na OpenSociety Nairobi kwa ajili ya kesi Mbowe zipo wapi?

CHADEMA watueleze US$100,000 walizopewa na OpenSociety Nairobi kwa ajili ya kesi Mbowe zipo wapi?

Wanaukumbi.
CHADEMA na Wanaharakati kama kwelli mnapenda haki na uwazi kuwa mfano kama mnataka kupewa dola watueleze US$100,000 takribani Tsh. 230m) mlizopewa na OpenSociety (Nairobi) kwa ajili ya kesi ya kushughukia kesi ya Freeman Mbowe, zimetumika kufanya nini?

Watanzania wapenda haki na wafuasi wenu wanataka kujua

Wanasubiri Majibu.

View attachment 2110421
CAG haoni ufisadi alafu wwe darasa la 4 ndio unahoji? Haupo serious

Takukuru si walifanya forensic audit CHADEMA mwaka jana mbona hawakuona wizi wowote?

Tuache speculation deal na ufusadi wa CCM yenu wanaotorosha tanzanite
 
Wanaukumbi.
CHADEMA na Wanaharakati kama kwelli mnapenda haki na uwazi kuwa mfano kama mnataka kupewa dola watueleze US$100,000 takribani Tsh. 230m) mlizopewa na OpenSociety (Nairobi) kwa ajili ya kesi ya kushughukia kesi ya Freeman Mbowe, zimetumika kufanya nini?

Watanzania wapenda haki na wafuasi wenu wanataka kujua

Wanasubiri Majibu.

View attachment 2110421
Bla bla bila kuwa deposit slip ni umbea,weka deposit slip tuamini kuwa CHADEMA ilipewa hiyo hela
 
Umetum
Wanaukumbi.
CHADEMA na Wanaharakati kama kwelli mnapenda haki na uwazi kuwa mfano kama mnataka kupewa dola watueleze US$100,000 takribani Tsh. 230m) mlizopewa na OpenSociety (Nairobi) kwa ajili ya kesi ya kushughukia kesi ya Freeman Mbowe, zimetumika kufanya nini?

Watanzania wapenda haki na wafuasi wenu wanataka kujua

Wanasubiri Majibu.

View attachment 2110421
Umetumwa na Zitto Kabwe wewe
 
Kwani kesi imefutwa ? Au kesi ya kugushi? Au hao mahakimu huko mahakamani wana pacha wa Mbowe ?

Mna nini kwani ?
 
Lema anavyonenepa huko ughaibuni yeye na familia yake, watakuwa wamekula hizo Hela, anaishi maisha ya kifahari sana na watoto wake wanasoma shule za ada kubwa sana. Nyingine watakuwa wamempa Maria, hawara yao, aliyekimbia nchi na kwenda Nairobi kudanga
 
Kumbe.....Ndio maana huwa anaonekana Nairobi......Sasa nimeelewa......
 
Duuh, ama kweli njaa mbaya...

Jamaa anahangaika kuvuta kipande cha mkate ili ale, ashibe na kisha aendelee kukaa gerezani wakati ktk kipimo kilekile cha kufikia kuchukua kipande cha mkate ndicho angeweza kutumia apate funguo wa mlango wa gereza, afungue kisha atoke geezani na kuchukua mkate na kula kwa raha zake akiwa mtu huru kabisa...!

So sad that, he has lost the greatest lifetime opportunity of his freedom...

Picha hii ina convey ujumbe muhimu sana juu ya ujinga wa mwanadamu....

Kwamba, inatoa ujumbe kuwa, binadamu anahitaji ukombozi wa kifikra kwanza kabla ya mambo mengine yote...!
 
Wanaukumbi.
CHADEMA na Wanaharakati kama kwelli mnapenda haki na uwazi kuwa mfano kama mnataka kupewa dola watueleze US$100,000 takribani Tsh. 230m) mlizopewa na OpenSociety (Nairobi) kwa ajili ya kesi ya kushughukia kesi ya Freeman Mbowe, zimetumika kufanya nini?

Watanzania wapenda haki na wafuasi wenu wanataka kujua

Wanasubiri Majibu.

View attachment 2110421
Chadema oyee
 
Duuh, ama kweli njaa mbaya...

Jamaa anahangaika kuvuta kipande cha mkate ili ale, ashibe na kisha aendelee kukaa gerezani wakati ktk kipimo kilekile cha kufikia kuchukua kipande cha mkate ndicho angeweza kutumia apate funguo wa mlango wa gereza, afungue kisha atoke geezani na kuchukua mkate na kula kwa raha zake akiwa guru...!

So sad that, he has lost the greatest lifetime opportunity of his freedom...

Picha hii ni ina convey ujumbe muhimu sana juu ya ujinga wa mwanadamu...!
Ni maisha in general, kijana anaacha mapori ya urithi kijijini kwao anakwenda mjini kutafuta kazi, anaishia kuwa house boy kwa ujira wa 50,000 kwa mwezi. Wengine wananyanyaswa kingono na kuambikizwa magonjwa.

Wakati akijisogeza na kulima mapori yale na kupeleka bidhaa sokoni anaweza kabisa kuishi na kuajiri wengine.
 
Wewe unatamba na ofisi mlizopora wakati mfumo wa vyama vingi ulipoanza!! Hata aibu huna!!! Ofisi zote za CCM mlizopora zilijengwa wakati wa chama kimoja. Kila mwananchi alichangia ujenzi huo. Tena siyo ofisi tu bali hata viwanja vya michezo na shule.

Hivyo vyote vilitakiwa kuwa mali ya serikali wakati mfumo wa vyama vingi umeanza ili kila chama kijengwe na wanachama wake.
Why, how,, vyama vingi vilikuwepo toka 1950 huko,,
Baadae vilisitishwa,, kisha 95 vikaanzishwa, kinyume na maoni ya watanzania,
Je,, unayo risiti ya mchango ukichangia kujenga ccm kirumba [emoji2522].?
Je kuna sheria inabainisha kuwa mali za chama kilichokua kimoja zirudi kuwa za serikali?.
Wewe kwa akili yako unaamini kuwa mali za ccm zinatakiwa zirudi ziwe za serikali
Wakati vyama vingi vyenyewe vilikataliwa na 95% ya watanzania mwaka 1994?
 
Tatizo la watoto waliozaliwa miaka ya 1990s hata hawajui history ya nchi hii na jinsi mfumo wa vyama vingi ulipoanza. Huwa inanikera sana vijana wa CCM wanapobeza vyama vingine hasa CHADEMA kuwa haina ofisi. Hawajui kuwa CCM ilipora kila kitu kilichojengwa kwa michango ya wananchi wote wakati wa chama kimoja. Ofisi, viwanja vya michezo, shule etc
Ha ha, sasa hata kama wananchi walichanga, si walikua wana CCM?, Mbona uko mzito sana kuelewa mkuu?,
Elewa kwamba 95% ya wananchi walikuwa wana ccm,,
Refrundum ya kuchagua kuwepo ama kusiwepo vyama vingi ,
Wananchi walivikataa vyama vingi , ushahidi upo,, hiyo maana yake wananchi hao walikuwa wana CCM[emoji847][emoji847]
Achana na dhana uliyokuwa brainwashed eti hamjengi makao makuu ya chama, mnasubiri kukamata nchi mchukue majengo ya ccm,,
Mtasubiri kwerikweri nduguzanguni. ,
Miaka 10,000
 
Mleta mada unaangaika na vitu vidogo,badala upambane na serikali yako inayotaka kuuzia gesi yako mwenyewe kupitia kwenye umeme wa gesi.
 
Ha ha, sasa hata kama wananchi walichanga, si walikua wana CCM?, Mbona uko mzito sana kuelewa mkuu?,
Elewa kwamba 95% ya wananchi walikuwa wana ccm,,
Refrundum ya kuchagua kuwepo ama kusiwepo vyama vingi ,
Wananchi walivikataa vyama vingi , ushahidi upo,, hiyo maana yake wananchi hao walikuwa wana CCM[emoji847][emoji847]
Achana na dhana uliyokuwa brainwashed eti hamjengi makao makuu ya chama, mnasubiri kukamata nchi mchukue majengo ya ccm,,
Mtasubiri kwerikweri nduguzanguni. ,
Miaka 10,000
Maumivu yakizidi muone daktari.
Screenshot_20220207-125150_Samsung%20Internet.jpg
 
Kwa hiyo na nyie mnapata excuse ya kupiga hela siyp daaah chama cha ukombozi
Hapo ingekua zile swadaka zenu hadi dakika hii mngekua labda na 25,000Tsh

Angalia wenzenu graph inavyopanda ndo utajua ufukara mlionao unavyo akisi fikra zenu.

Maumivu yakizidi muone daktari.
Screenshot_20220207-125150_Samsung%20Internet.jpg
 
Back
Top Bottom