CHADEMA watueleze US$100,000 walizopewa na OpenSociety Nairobi kwa ajili ya kesi Mbowe zipo wapi?

Maumivu yakizidi muone daktari.View attachment 2111190
Mi sina tatizo na mbowe ameteseka sana awamu ya 5,
Pesa zake zilikuwa freezed,wengine wanasema alifiriska,,,
Wiki ya kwanza tu ya Samia kazini,aka unfreez account zake,. Sasa badala ya asante , mbowe akaanza kumnanga samia, yaani hata kushukuru hamna,,
 
ndiyo mana anateseka tena hana akili mbowe
 
Wanaukumbi.
CHADEMA na Wanaharakati kama kwelli mnapenda haki na uwazi kuwa mfano kama mnataka kupewa dola watueleze US$100,000 takribani Tsh. 230m) mlizopewa na OpenSociety (Nairobi) kwa ajili ya kesi ya kushughukia kesi ya Freeman Mbowe, zimetumika kufanya nini?

Watanzania wapenda haki na wafuasi wenu wanataka kujua

Wanasubiri Majibu.

View attachment 2110421
Wewe Mbwa unajiita mpenda haki!?? Unavizia uzuie ili afungwe tu siyo Nyang'au wa head!!
 
Kweli CHADEMA inawaweza. Kwa hivyo unataka wakueleze wewe Kama Nani?. Mpaka pesa ya kesi mnaitaka, hamjaridhika na tozo na mikopo ya IMF.
Si mlisema wanajitolea?

Ila machadema yanaliwaga hela kijinga sana aisee
 
Wanaukumbi.
CHADEMA na Wanaharakati kama kwelli mnapenda haki na uwazi kuwa mfano kama mnataka kupewa dola watueleze US$100,000 takribani Tsh. 230m) mlizopewa na OpenSociety (Nairobi) kwa ajili ya kesi ya kushughukia kesi ya Freeman Mbowe, zimetumika kufanya nini?

Watanzania wapenda haki na wafuasi wenu wanataka kujua

Wanasubiri Majibu.

View attachment 2110421
Yaezekana unayo hoja but.. kwanza lete ushahid juu ya hilo fungu, pili utapewa utaratib wa wap pa kuhoji ili upate ukwel!!
 
🤣🤣🤣🤣🤣
Kama nimepitwa na majibu yao nitagini pulizi..
 
Shida kubwa ya Bavicha na Pro-Chadema JF Wao pekee ndio wana haki ya kukosoa....wakiamini wana wafuasi wengi wakati upuuzi mtupu wana mbunge mmoja tu.
 
Wanaukumbi.
CHADEMA na Wanaharakati kama kwelli mnapenda haki na uwazi kuwa mfano kama mnataka kupewa dola watueleze US$100,000 takribani Tsh. 230m) mlizopewa na OpenSociety (Nairobi) kwa ajili ya kesi ya kushughukia kesi ya Freeman Mbowe, zimetumika kufanya nini?

Watanzania wapenda haki na wafuasi wenu wanataka kujua

Wanasubiri Majibu.

View attachment 2110421
open society ...ulitaka apewe babako
 
Wanaukumbi.
CHADEMA na Wanaharakati kama kwelli mnapenda haki na uwazi kuwa mfano kama mnataka kupewa dola watueleze US$100,000 takribani Tsh. 230m) mlizopewa na OpenSociety (Nairobi) kwa ajili ya kesi ya kushughukia kesi ya Freeman Mbowe, zimetumika kufanya nini?

Watanzania wapenda haki na wafuasi wenu wanataka kujua

Wanasubiri Majibu.

View attachment 2110421
Weka ushahidi wa muamala
 
Back
Top Bottom