CHADEMA watueleze US$100,000 walizopewa na OpenSociety Nairobi kwa ajili ya kesi Mbowe zipo wapi?

Wanaukumbi.
Chadema na wanaharakati kama kwelli mnapenda haki na uwazi kuwa mfano kama mnataka kupewa dola watueleze US$100,000 takribani Tsh 230m) mlizopewa na OpenSociety (Nairobi) kwa ajili ya kesi ya kushughukia kesi ya Freeman Mbowe, zimetumika kufanya nini?

Watanzania wapenda haki na wafuasi wenu wanataka kujua

Wanasubiri Majibu.

View attachment 2110421
WASIPOKUELEZA UTAWAFANYA NINI?

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Ritz umefufukia wapi? Kipindi chote cha JPM ulimute mazima.

Anyway, karibu tena JF.
 
Wanaukumbi.
Chadema na wanaharakati kama kwelli mnapenda haki na uwazi kuwa mfano kama mnataka kupewa dola watueleze US$100,000 takribani Tsh 230m) mlizopewa na OpenSociety (Nairobi) kwa ajili ya kesi ya kushughukia kesi ya Freeman Mbowe, zimetumika kufanya nini?

Watanzania wapenda haki na wafuasi wenu wanataka kujua

Wanasubiri Majibu.

View attachment 2110421
Chama cha Kihalifu hicho, unategemea nini tena hapo?
 
Wanaukumbi.
Chadema na wanaharakati kama kwelli mnapenda haki na uwazi kuwa mfano kama mnataka kupewa dola watueleze US$100,000 takribani Tsh 230m) mlizopewa na OpenSociety (Nairobi) kwa ajili ya kesi ya kushughukia kesi ya Freeman Mbowe, zimetumika kufanya nini?

Watanzania wapenda haki na wafuasi wenu wanataka kujua

Wanasubiri Majibu.

View attachment 2110421
Wakuelezeeee we na nani???
 
Kweli CHADEMA inawaweza. Kwa hivyo unataka wakueleze wewe Kama Nani?. Mpaka pesa ya kesi mnaitaka, hamjaridhika na tozo na mikopo ya IMF.
 
Mnaanza kutajana sasa assasins, mmeshakula fedha ya evil George Soros, soon Watanzania wataujua ukweli.

it’s a Coup !
 
Labda watakuwa wamengea ofisi, maana hawajawahi kuwa na ofisi hao!

Bora CHADEMA, kuliko CCM wenye ofisi ya uzurumati. Yani uchangishe wananchi Halafu mfumo wa vyama vingi ulipoanza mkadai Ni Mali yenu, wakati mlichangisha wananchi matapeli wakubwa.
 
Huoni hapo kuna wizi, saa hizi wanachangisha dola 100,000 kwa ajili ya kesi, kumbe wamarekani wameshatoa pesa ya kulipa mawakili... [emoji134][emoji134]

Hamuoni aibu Sasa hivi mmeingia kwenye kesi ya mbowe kijinga. Mmeona Mbowe haombi msamaha mmeamuwa kuanza Mambo ya malipo ya mawakili.
 
Mnaanza kutajana sasa assasins, mmeshakula fedha ya evil George Soros, soon Watanzania wataujua ukweli.

it’s a Coup !

Hayo Ndio maombi yenu. Baada ya kesi yenu ya uongo Sasa mmekuja na Mambo ya kutunga. CHADEMA hamuiwezi, alijaribu Magufuri kuidhurumu CHADEMA hakukalia kiti hata miezi minne akakondoka. Tengenezeni uongo wa Kila Aina lakini mwisho mtaumbuka Kama kina Makonda na Ndugai waliojifanya miamba dhidi ya CHADEMA.

Asasins umeshindwa kuwajua?. Polisi wanaua raia mtwara mpaka tume imeundwa wewe mnafiki umekalia kuita watu asasins. Asasins waliompiga risasi Lissu wewe mnafiki unawajua?. Acheni unafiki na uongo, ili tu mfurahie maumivu ya CHADEMA. Mjifunze wale walioinanga CHADEMA wako wapi?.
 
Jpm aliwapenda sana, lakini mkaishia kumtukana baba wa watu eti hakusoma,,, sijui eti aliiba mtihani wa PhD,,
Hamna jema, mna roho za hovyo na kamwe hatuwezi kubali mchukue nchi hii, kamwe
 
Kwani uongo?Mbona amekufa kwa sonona!?😝😝😝
 
Chadema wengi hawajui huu upigaji uzuri wafuasi wa Chadema wengi wao ni mateka marufuku kuhoji.
 
Sumu haijaribiwi kwa kulambwa !, sumu haijaribiwi kwa kulambwa !!!
 
Back
Top Bottom