Lusungo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 28,259
- 41,416
Kahoji ya ACT sasa. Au kwakua na kichochoro cha hangaya kupitishia tende mnazovimbiwa hapo Manyema?Chadema wengi hawajui huu upigaji uzuri wafuasi wa Chadema wengi wao ni mateka marufuku kuhoji.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kahoji ya ACT sasa. Au kwakua na kichochoro cha hangaya kupitishia tende mnazovimbiwa hapo Manyema?Chadema wengi hawajui huu upigaji uzuri wafuasi wa Chadema wengi wao ni mateka marufuku kuhoji.
Wewe unatamba na ofisi mlizopora wakati mfumo wa vyama vingi ulipoanza!! Hata aibu huna!!! Ofisi zote za CCM mlizopora zilijengwa wakati wa chama kimoja. Kila mwananchi alichangia ujenzi huo. Tena siyo ofisi tu bali hata viwanja vya michezo na shule.Labda watakuwa wamengea ofisi, maana hawajawahi kuwa na ofisi hao!
Tatizo la watoto waliozaliwa miaka ya 1990s hata hawajui history ya nchi hii na jinsi mfumo wa vyama vingi ulipoanza. Huwa inanikera sana vijana wa CCM wanapobeza vyama vingine hasa CHADEMA kuwa haina ofisi. Hawajui kuwa CCM ilipora kila kitu kilichojengwa kwa michango ya wananchi wote wakati wa chama kimoja. Ofisi, viwanja vya michezo, shule etcBora CHADEMA, kuliko CCM wenye ofisi ya uzurumati. Yani uchangishe wananchi Halafu mfumo wa vyama vingi ulipoanza mkadai Ni Mali yenu, wakati mlichangisha wananchi matapeli wakubwa.
Aanze na ruzuku ya CCM kwanza
Inakuuma sana eeh?Weka link basi hapa maana Mimi sijachangia na kupitia Uzi huu nimejikuta nimeguswa kuchangia!Nyie Chadema mnasema nyie na Mbowe kule gerezani mpo tayari kwa lolote kwanini mnaomba omba michango?
Aliyewaambia wahamie hivyo vyama ni nani? Ruksa kurudi CCM, na kama hutaki kurudi basi usilalamike, wewe songa mbele!Bora CHADEMA, kuliko CCM wenye ofisi ya uzurumati. Yani uchangishe wananchi Halafu mfumo wa vyama vingi ulipoanza mkadai Ni Mali yenu, wakati mlichangisha wananchi matapeli wakubwa.
Alichosema Zitto hadharani kutaka Mamlaka zimwachie Mbowe ndio statement ya waziCCM inachukua 4B kila mwezi ruzuku lakini yupo kimya
Niweke link nami nichangie!Kumbambika kesi Mbowe na kumuweka ndani Bado hamjarudhika,mnapata wivu Hadi Kwa michangi tunayotoa Kwa hiari yetu,Shwain!Acheni kutumia hii kesikama njia ya kupiga pesa.
Unajua jopo la mawakili wa jamhuri wanalipwa sh ngapi ya Kodi zetu Kwa kesi ya mchongo???Alichosema Zitto hadharani kutaka Mamlaka zimwachie Mbowe ndio statement ya wazi
Lakini ukweli Chadema ndiyo wanataka Mbowe asitoke kwani wamemgeuza Mwenyekiti wao chambo cha hela
Wanachangisha Fedha za “mawakili” lengo ni $300,000
Sawa na 800m
Wanagawana Daaah
Ritzy huifahamu hadhi yako wala huja feel uzito wa hadhi yako ulishawahi kuwa first son mtoto wa rais siasa zako ni lazima ziondoke kwenye uvyama family yako imejengwa na watanzania wote hivyo tabu zao zikukuguse bila kujali vyama kuanza kuponda vyama vya upinzani au mwelekekeo wowote wa watz wenzako waachie machawa hupendezi kuwa chawa nakushauri Role Model wako awe Hussein Mwinyi mdomo wake haujawahi taka Chadema,Cuf wala kabila fulani kajikita kwenye utanzania zaidi.Wanaukumbi.
Chadema na wanaharakati kama kwelli mnapenda haki na uwazi kuwa mfano kama mnataka kupewa dola watueleze US$100,000 takribani Tsh 230m) mlizopewa na OpenSociety (Nairobi) kwa ajili ya kesi ya kushughukia kesi ya Freeman Mbowe, zimetumika kufanya nini?
Watanzania wapenda haki na wafuasi wenu wanataka kujua
Wanasubiri Majibu.
View attachment 2110421
Wewe hujui, huyu Magufuli or for that matter CCM walimweka mgombea mwenza mwanamke na mwislamu so as to win wanawake votes and Muslims particularly in Zanzibar.Mzee Mudi acha udini. Tanzania hakuna udini. Kungekuwa na udini rais mwenye ushungi angeshika madaraka? Toa udini wako, sisi wananchi tunaishi vizuri na wala hatuulizani dini zetu.
Sijui iwapo unauliza swali ama unatujuza kuwa kuna msaada wa $ 100k toka open society kwa ajili ya kesi ya Mbowe.Wanaukumbi.
Chadema na wanaharakati kama kwelli mnapenda haki na uwazi kuwa mfano kama mnataka kupewa dola watueleze US$100,000 takribani Tsh 230m) mlizopewa na OpenSociety (Nairobi) kwa ajili ya kesi ya kushughukia kesi ya Freeman Mbowe, zimetumika kufanya nini?
Watanzania wapenda haki na wafuasi wenu wanataka kujua
Wanasubiri Majibu.
View attachment 2110421