CHADEMA watueleze US$100,000 walizopewa na OpenSociety Nairobi kwa ajili ya kesi Mbowe zipo wapi?

Shida kubwa ya Bavicha na Pro-Chadema JF Wao pekee ndio wana haki ya kukosoa....wakiamini wana wafuasi wengi wakati upuuzi mtupu wana mbunge mmoja tu.
Mudi mabaraghashia acha udini wewe mzee. Una taa usoni lakini bado huoni mbele?
 
Ushahidi upo wapi? Weka ushahidi transaction ilivyofanyika.
 
Tupo jopo la watu tumepitia post zako hapa; tume-conclude una “ushambenga uliokubuhu”

Hayakuhusu

Ova
 
Pesa atoe mwingine wewe unawashwa. Huoni kwamba umekua Kama mke wa balozi kwa umbea uliokua nao.
 
Wanawalipa kina kibatala

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Ukimkuta kwenye kile kibenchi chao pale nje ya msikiti wa manyema na sigda yake utadhani mtu wa maana anavyowapwaga wenzie kumbe hopeless tu.
Waislam ambao mpo Chadema someni wwenyewe chuki na kejeli mnazopewa na wafuasi na viongozi wa Chadema.

Endeleeni kuwashambulia Waslam mtakutana nao kwenye chumba cha kupigia kura badala ya kupambana na CCM mnapambana na Waislam.

Waislam wanaona sasa hivi ni vita baina ya Chadema na Waislam tuone nani atashinda.
 
Usilolijua hata hiyo CCM mnayoipigia kura nyie sio kipaumbele kwao. Wanajua wakiwapea pilau mkavimbiwa kwisha habari yenu.

Naona Lipumba kazeeka sasa 2025 mtatumia Zitto kuwazungukia wajinga wenzie kwenye viambaza vyenu kama ilivyokua kwa Lipumba 2010.
 
Labda watakuwa wamengea ofisi, maana hawajawahi kuwa na ofisi hao!
Unajua kama Ofisi zinazosemekana ni za CCM zilijengwa na wananchi enzi ya chama kimoja?
Wakulima walikuwa wakikatwa pesa walipouza mazao yao kwenye vyama vya ushirika, watumishi walichangishwa katika maeneo yao ya kazi(au hujui kama sehemu za kazi zilikuwa na matawi ya chama!), pia kwenye vinywaji kama soda kuliwekwa angalau sh 1/= kwa ajili ya kujenga chama.
Kwa hiyo kimsingi Ofisi zote za CCM zilizojengwa angalau kabla ya 1993 zinastahili kuwa majengo ya Serikali.
 
Umesema pesa zilikuwa kwa ajili ya kesi halafu unauliza zimetumikaje!!!! Kwani kesi imeisha na imegharimu kiasi gani?
 
Ritz wewe ni CCM, mambo ya CHADEMA yanakuhusu nini? Je mawakili unawalipa wewe?
Mbona hoja ya kishamba sana hii na imekuwa ikitumiwa mara kwa mara watu wenye upeo mdogo. Haya kama hayatuhusu mbona mambo mengi ya chadema yanaletwa hapa jukwaani....??? si myapeleke kwenye Whatsap group zenu huko ambako ndiko wanakutana wanachadema.
Wala usije kwangu kuniomba kura maana mimi sio chadema
Usije kwangu na swaga za Katiba mpya kwa mtazamo wa kichadema nitakuambia tunayo ya Samuel Sitta.
Ina maana mpaka leo watu hawajui kama chama cha siasa ni mali ya umma
Kwamba chama cha siasa wanapewa Ruzuku ambazo ni kodi zetu.
Jibu hoja usizime hoja
Hoja huzimwa kwa hoja na sio utopolo huu mnaoleta
 
Si ndio zinaendelea kuwababaisha mashahidi na mawakili wa serikali kule mahakamani? Kwani hujaona watu wakiomba ruhusa ya kwenda chooni kila mara?
 
Nilichangia ujenzi wa CCm Kirumba mwaka 1978 TShs. 100/= ilikuwa ni LAZIMA kwa kila mwanafunzi. Hata kama hakuna sheria lakini ilitakiwa tulipoanza Mfumo wa Vyama vingi hata kama wananchi wengi hawakuchagua mfumo huo, mali zote zingerudi serikalini halafu kila chama kianze upya na siyo CCM kujimilikisha mali zilizojengwa kwa nguvu za wananchi wote
 
Wewe ndiyo mzito kuelewa!!!! Kipindi cha mfumo wa chama kimoja watu wengi wala hawakuwa na chama bali wananchi walikuwa WANALAZIMISHWA kufanya vitu kwa ajili ya chama kilichokuwepo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…