Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Una uhakika gani kauza nafasi
Mpaka umeamua kurelease hapa,just a simple qn
Mvurugano uko wapi sasa hapo? Ulidhani yatatokea kama ya ccm Dom?Mpaka sasa haieleweki nani mgombea ubunge halisi kupitia CHADEMA jimbo la Kilombero. Wakati kamati kuu ikimteua Modestus aliyeongoza kura za maoni kuwa mgombea uongozi wa kanda na wilaya umemkabidhi barua za kugombea ubunge Bilionea Nabii Daniel Shillah aliyeshika nafasi ya pili.
Tazama hapa nabii Shillah akipewa fomu
Wao mpaka mitama ya mchomvu ndio kielewekeMvurugano uko wapi sasa hapo? Ulidhani yatatokea kama ya ccm Dom?
Umeelewa sema unajitoa ufahamu [emoji23]Andika vizuri ueleweke
Hayakuhusu tafutia wanao chakulaMpaka sasa haieleweki nani mgombea ubunge halisi kupitia CHADEMA jimbo la Kilombero. Wakati kamati kuu ikimteua Modestus aliyeongoza kura za maoni kuwa mgombea uongozi wa kanda na wilaya umemkabidhi barua za kugombea ubunge Bilionea Nabii Daniel Shillah aliyeshika nafasi ya pili.
Tazama hapa nabii Shillah akipewa fomu
CCM ni ukoo wa panyaHii imenikumbusha kauli ya Mzee Juma Duni Haji wakati anatoka Chadema kurudi CUF. Alisema kuwa Chadema ni kama ukoo wa kambale. Hajulikani mkubwa nani, mdogo nani. Wote vururuvururu!!!
Chadema wote wana ndevu hujui mkubwa yupi mdogo yupi,mwanamke yupi mwanaume yupi kweli hawa ni wafuasi wa LuciferCCM ni ukoo wa panya
Oooh sawa.Aliyeenda kichukua form NEC ni shillah, wakati aliyeteuliwa na kamati kuu ni chitemi
Andika vizuri ueleweke
CCM ni ukoo wa panya
kuna kitu hukijuiUnajidhalilisha tu na habari ya mavyama.
WOTE HAWAPO KWA AJILI YA HOEHAE BALI VITAMBI VYAO.
Wacha nikampe salamu JPM ha ha ha hah.
kuna kitu hukijui
Oh!! Familia ya KAMBAREHii imenikumbusha kauli ya Mzee Juma Duni Haji wakati anatoka Chadema kurudi CUF. Alisema kuwa Chadema ni kama ukoo wa kambale. Hajulikani mkubwa nani, mdogo nani. Wote vururuvururu!!!
Heri ya saccos kuliko anaehamishia pesa kwa na kujenga uwanja wa ndege,naskia ungo na mbayuwayu ndio zinatua kwa sanaTatizo mwenye Sacco's yake anataka wenye pesa,yeye Yuko kibiashara zaidi
Kiwanja Cha watanzania wote, Sacco's Mali ya mtu binafsi bwasheeHeri ya saccos kuliko anaehamishia pesa kwa na kujenga uwanja wa ndege,naskia ungo na mbayuwayu ndio zinatua kwa sana