Uchaguzi 2020 CHADEMA wavurugana Jimbo la Kilombero. Pamoja na kushika namba 2 kura za maoni, Bilionea Shillah achukua fomu ya Ubunge

Uchaguzi 2020 CHADEMA wavurugana Jimbo la Kilombero. Pamoja na kushika namba 2 kura za maoni, Bilionea Shillah achukua fomu ya Ubunge

Mpaka sasa haieleweki nani mgombea ubunge halisi kupitia CHADEMA jimbo la Kilombero. Wakati kamati kuu ikimteua Modestus aliyeongoza kura za maoni kuwa mgombea uongozi wa kanda na wilaya umemkabidhi barua za kugombea ubunge Bilionea Nabii Daniel Shillah aliyeshika nafasi ya pili.

Tazama hapa nabii Shillah akipewa fomu

Mvurugano uko wapi sasa hapo? Ulidhani yatatokea kama ya ccm Dom?
 
Maelekezo kutoka juu.
Kama ni bilionare baaasi we need his money for campaign
 
Sacco's haina pesa ya kampeni Sasa mwenye pesa ndio anapewa nafasi hata Kama alishika nafasi ya 70 [emoji23][emoji1787]
 
Mpaka sasa haieleweki nani mgombea ubunge halisi kupitia CHADEMA jimbo la Kilombero. Wakati kamati kuu ikimteua Modestus aliyeongoza kura za maoni kuwa mgombea uongozi wa kanda na wilaya umemkabidhi barua za kugombea ubunge Bilionea Nabii Daniel Shillah aliyeshika nafasi ya pili.

Tazama hapa nabii Shillah akipewa fomu

Hayakuhusu tafutia wanao chakula
 
Watakuwa washakula dolaleeee za bilioneaaa.....
 
kuna kitu hukijui

😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😄😃😅

Kwa umri wangu nisichokijua ni mambo ya kiroho nikiwa nami nipo rohoni.

Mambo ya kimwili yote ni?????!!!!!!!
 
Back
Top Bottom