Uchaguzi 2020 CHADEMA wavurugana Jimbo la Kilombero. Pamoja na kushika namba 2 kura za maoni, Bilionea Shillah achukua fomu ya Ubunge

Katika maneno yaliyoandikwa chini ya hiyo picha kuna sentensi imeandikwa "Niwashukuru viongozi na wananchi ikiwemo na wagombea wenzangu wote kwa kuahidi kushirikiana nami".

Kumbe wameshakubaliana na kuahidi kushirikiana, sasa wewe huo mvurugano umeutoa wapi? Hapo hakuna mvurugano ispokuwa kama utaleta kauli nyingine ya chama ama mtia nia mwingine inayosema tofauti na hiyo hapo juu.
 
Kwani billionea anasemaje kuhusu hilo..??
 
Unajidhalilisha tu na habari ya mavyama.

WOTE HAWAPO KWA AJILI YA HOEHAE BALI VITAMBI VYAO.

Wacha nikampe salamu JPM ha ha ha hah.
Na wewe umefuata nini kwenye habari za mavyama? Na wewe utakuwa panya tu.
 
Haina namna chama kimefanya kama jimbo la Kawe kwa Halima Mdee wote ni watumishi wa mungu maombi yao yamejibiwa kama Gwajima kwa CCM alivyopitishwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…