SwadaktaTatizo la watu wengi hawaelewi tofauti ya Chadema ya Mbowe na Chadema ya Lissu. Chadema ya Mbowe alikuwa anapigana na CCM Kwa bunduki na mikuki. Chadema ya Lissu inatumia mbinu mpya imepeleka agenda yake moja kwa moja na watanzania na wameanza kuelewa agenda za kitaifa za muhimu. Kwa sasa wanakubalika kwenye agenda zao kama 60% hivi siku wakifika 80% ya watanzania kukubaliana na agenda zao ambazo ukiangalia vizuri sio za chama ni za kitaifa watakuwa ni sawa na kutengeneza nuklia maana sio Chadema tena watawala watawaagopa bali ni nchi kwa ujumla wake. Itafika wakati wananchi wataanza kuchukuwa majukumu wenyewe ya kuzuia rushwa, kukomesha utekaji na kuongelea mambo ya kimataifa. Lakini wasio juwa makada wa CCM bado wanafikiria bunduki wakati wao wanatengenza nuklia. Mbinu wanazotumia watawala hazitawezekana.
Tujiulize kwanini serikali ya makaburu ya South Africa ilianguka ni mbinu hii ya nuklia yaani watu ndiyo wanakuwa na nguvu kiasi cha kuangusha uongozi na sio Chama pekee. Tanzania inaenda huko ndiyo maana kila siku Heche anafananisha south Africa na Tanzania. Serikali ya Samia ni kama ya makaburu.
Honestly, ilikuwa ni aibu kwa chama kinachojinasibu kwamba kina wafuasi milion + kutumia muda mrefu vile kukusanya just 300milion. Tafsiri yake kwamba database inasoma idadi kubwa ya wananchi ila walio hai ni very minute.Vipi ile milioni 300 bado haijakamilika ?
Lissu anawatesa sana.Tundu Lissu akitoka kipindi hichi kuna watu watapata tabu sana.
Halafu mtoa mada anasema kwa sasa ni 60% kuelekea 80%Honestly, ilikuwa ni aibu kwa chama kinachojinasibu kwamba kina wafuasi milion + kutumia muda mrefu vile kukusanya just 300milion. Tafsiri yake kwamba database inasoma idadi kubwa ya wananchi ila walio hai ni very minute.
nonsense 🐒Tatizo la watu wengi hawaelewi tofauti ya Chadema ya Mbowe na Chadema ya Lissu. Chadema ya Mbowe alikuwa anapigana na CCM Kwa bunduki na mikuki. Chadema ya Lissu inatumia mbinu mpya imepeleka agenda yake moja kwa moja na watanzania na wameanza kuelewa agenda za kitaifa za muhimu.
Kwa sasa wanakubalika kwenye agenda zao kama 60% hivi siku wakifika 80% ya watanzania kukubaliana na agenda zao ambazo ukiangalia vizuri sio za chama ni za kitaifa watakuwa ni sawa na kutengeneza nuklia maana sio Chadema tena watawala watawaagopa bali ni nchi kwa ujumla wake. Itafika wakati wananchi wataanza kuchukuwa majukumu wenyewe ya kuzuia rushwa, kukomesha utekaji na kuongelea mambo ya kimataifa. Lakini wasio juwa makada wa CCM bado wanafikiria bunduki wakati wao wanatengenza nuklia. Mbinu wanazotumia watawala hazitawezekana.
Tujiulize kwanini serikali ya makaburu ya South Africa ilianguka ni mbinu hii ya nuklia yaani watu ndiyo wanakuwa na nguvu kiasi cha kuangusha uongozi na sio Chama pekee. Tanzania inaenda huko ndiyo maana kila siku Heche anafananisha south Africa na Tanzania. Serikali ya Samia ni kama ya makaburu.
Kuhusu idadi ya Wanachama.Halafu mtoa mada anasema kwa sasa no 60% kuelekea 80%
Labda huko hakuna waliaosomea Hisabati
Hata mimi wa BAM ninweza kukukotoa kuwa laiti kungekuwepo agalau chadema hai 300, 000 tu ambao ni
300,000/70. 000,000 x 100 = 0.43% ya watanzania milioni 70, basi kama kila mmoja wa hao angechangia angalau buku, narudia buku tu yaani 1000,
300, 000 x 1000 = 300, 000,000
Waangekuwa wamekamilisha hio milioni 300 kwa siku moja tu
Ina maana wanachedema hawana hata buku au hawafikii 300, 000 nchi nzima
Kwa kweli ni masikitiko
Hoja yako ni nini hasa?Halafu mtoa mada anasema kwa sasa ni 60% kuelekea 80%
Labda huko hakuna waliaosomea Hisabati
Hata mimi wa BAM ninweza kukukotoa kuwa laiti kungekuwepo agalau chadema hai 300, 000 tu ambao ni
300,000/70. 000,000 x 100 = 0.43% ya watanzania milioni 70, basi kama kila mmoja wa hao angechangia angalau buku, narudia buku tu yaani 1000,
300, 000 x 1000 = 300, 000,000
Waangekuwa wamekamilisha hio milioni 300 kwa siku moja tu
Ina maana wanachedema hawana hata buku au hawafikii 300, 000 nchi nzima
Kwa kweli ni masikitiko
Chadema in akubariki kwa 95% kama huamini muulize kada wa ccm aliyetekwa ......Tatizo la watu wengi hawaelewi tofauti ya Chadema ya Mbowe na Chadema ya Lissu. Chadema ya Mbowe alikuwa anapigana na CCM Kwa bunduki na mikuki. Chadema ya Lissu inatumia mbinu mpya imepeleka agenda yake moja kwa moja na watanzania na wameanza kuelewa agenda za kitaifa za muhimu.
Kwa sasa wanakubalika kwenye agenda zao kama 60% hivi siku wakifika 80% ya watanzania kukubaliana na agenda zao ambazo ukiangalia vizuri sio za chama ni za kitaifa watakuwa ni sawa na kutengeneza nuklia maana sio Chadema tena watawala watawaagopa bali ni nchi kwa ujumla wake. Itafika wakati wananchi wataanza kuchukuwa majukumu wenyewe ya kuzuia rushwa, kukomesha utekaji na kuongelea mambo ya kimataifa. Lakini wasio juwa makada wa CCM bado wanafikiria bunduki wakati wao wanatengenza nuklia. Mbinu wanazotumia watawala hazitawezekana.
Tujiulize kwanini serikali ya makaburu ya South Africa ilianguka ni mbinu hii ya nuklia yaani watu ndiyo wanakuwa na nguvu kiasi cha kuangusha uongozi na sio Chama pekee. Tanzania inaenda huko ndiyo maana kila siku Heche anafananisha south Africa na Tanzania. Serikali ya Samia ni kama ya makaburu.
Take your time ujifunze kuhusu neno Tone Tone kama strategy kwanza.Honestly, ilikuwa ni aibu kwa chama kinachojinasibu kwamba kina wafuasi milion + kutumia muda mrefu vile kukusanya just 300milion. Tafsiri yake kwamba database inasoma idadi kubwa ya wananchi ila walio hai ni very minute.
Lissu hatoki leo wala kesho. Wamemhurumia sana atapewa Life in Prison.Tundu Lissu akitoka kipindi hichi kuna watu watapata tabu sana.
Ndio mnavyojifariji nguruwe wa kizimkaziLissu hatoki leo wala kesho. Wamemhurumia sana atapewa Life in Prison.
HavihusianiVipi ile milioni 300 bado haijakamilika ?
Unaweza kuitunza hii post halafu tukakumbushana mwaka 2030 baada ya Uchaguzi Mkuu na 2040 baada ya Uchaguzi Mkuu tena?Tatizo la watu wengi hawaelewi tofauti ya Chadema ya Mbowe na Chadema ya Lissu. Chadema ya Mbowe alikuwa anapigana na CCM Kwa bunduki na mikuki. Chadema ya Lissu inatumia mbinu mpya imepeleka agenda yake moja kwa moja na watanzania na wameanza kuelewa agenda za kitaifa za muhimu.
Kwa sasa wanakubalika kwenye agenda zao kama 60% hivi siku wakifika 80% ya watanzania kukubaliana na agenda zao ambazo ukiangalia vizuri sio za chama ni za kitaifa watakuwa ni sawa na kutengeneza nuklia maana sio Chadema tena watawala watawaagopa bali ni nchi kwa ujumla wake. Itafika wakati wananchi wataanza kuchukuwa majukumu wenyewe ya kuzuia rushwa, kukomesha utekaji na kuongelea mambo ya kimataifa. Lakini wasio juwa makada wa CCM bado wanafikiria bunduki wakati wao wanatengenza nuklia. Mbinu wanazotumia watawala hazitawezekana.
Tujiulize kwanini serikali ya makaburu ya South Africa ilianguka ni mbinu hii ya nuklia yaani watu ndiyo wanakuwa na nguvu kiasi cha kuangusha uongozi na sio Chama pekee. Tanzania inaenda huko ndiyo maana kila siku Heche anafananisha south Africa na Tanzania. Serikali ya Samia ni kama ya makaburu.
Una akili nyingi mnoHoja yako ni nini hasa?
Na unataka kuilinganisha tonetone ya CHADEMA na nani au na kitu gani?
Waulize Simba Sports Club, kuwa pamoja na kuwa ni Club yenye wanachama mzuka mamilioni, iliwachukua muda gani kuchangisha TZS 100,000,000 tu..?
Na kwani ni nani kakuambia kuwa ukiwa na wanachama milioni 7 au 10 au hata 30 wote wanaweza kuchanga fedha kwa wakati kana kwamba umekusanya wanafunzi darasani na kuwaambia wote watoe 1,000..!?
People are living in isolation. Wengine pengine hawana hata taarifa kuwa kuna kitu kama hicho. Wengine ni wanachama wako lakini naturally huwa hawatoi pesa yao lakini ukiwaambia wakupigie kura, unazipata asubuhi tu..
Hata hivyo, CHADEMA kupata pesa hizi karibu TZS 300,000,000 ndani ya mwezi mmoja tu is not a joke. It's a sign of a big influence which CHADEMA imparts to people...
By the way, hivi Kuna wakati wowote CCM iliwahi kuanzisha mchango wa tonetone na ikapata pesa toka kwa mama lishe na wasukuma mkokoteni na walalahoi wengine iliyowatesa kwa miaka karibu 65 sasa.?