Swadakta
Jizi na lipenda rushwa limepostVipi ile milioni 300 bado haijakamilika ?
Swadakta
Jizi na lipenda rushwa limepostVipi ile milioni 300 bado haijakamilika ?
Jizi na lipenda rushwa halina aibu liko busy linachangia madaUnaweza kuitunza hii post halafu tukakumbushana mwaka 2030 baada ya Uchaguzi Mkuu na 2040 baada ya Uchaguzi Mkuu tena?
Jizi na lipenda rushwa halina aibu linatoa comments.Lissu hatoki leo wala kesho. Wamemhurumia sana atapewa Life in Prison.
Hapa umeandika nini mweshimiwa.Take your time ujifunze kuhusu neno Tone Tone kama strategy kwanza.
Ubongo wako una kiasi kidogo sana cha ubongo unaofanya kazi, unasema watanzania milioni 70 waichangie Chadema, unajua ndani ya hiyo milioni 70 kuna watoto wangapi ambao umri wao upo chini ya miaka 18? Ndani ya hiyo milioni 70 kuna wazee wangapi ambao hawapo kwenye uzalishaji? Ndani hiyo milioni 70 haujui kuwa kuna CCM,chauma,act wazalendo na wa vyama vingine? Wote hao bila kujali umri wao au itikadi zao unawalazimisha wachangie Chadema 1000?Halafu mtoa mada anasema kwa sasa ni 60% kuelekea 80%
Labda huko hakuna waliaosomea Hisabati
Hata mimi wa BAM ninweza kukukotoa kuwa laiti kungekuwepo agalau chadema hai 300, 000 tu ambao ni
300,000/70. 000,000 x 100 = 0.43% ya watanzania milioni 70, basi kama kila mmoja wa hao angechangia angalau buku, narudia buku tu yaani 1000,
300, 000 x 1000 = 300, 000,000
Waangekuwa wamekamilisha hio milioni 300 kwa siku moja tu
Ina maana wanachedema hawana hata buku au hawafikii 300, 000 nchi nzima
Kwa kweli ni masikitiko
CHADEMA ni chaguo la Mungu MkuuTatizo la watu wengi hawaelewi tofauti ya Chadema ya Mbowe na Chadema ya Lissu. Chadema ya Mbowe alikuwa anapigana na CCM Kwa bunduki na mikuki. Chadema ya Lissu inatumia mbinu mpya imepeleka agenda yake moja kwa moja na watanzania na wameanza kuelewa agenda za kitaifa za muhimu.
Kwa sasa wanakubalika kwenye agenda zao kama 60% hivi siku wakifika 80% ya watanzania kukubaliana na agenda zao ambazo ukiangalia vizuri sio za chama ni za kitaifa watakuwa ni sawa na kutengeneza nuklia maana sio Chadema tena watawala watawaagopa bali ni nchi kwa ujumla wake. Itafika wakati wananchi wataanza kuchukuwa majukumu wenyewe ya kuzuia rushwa, kukomesha utekaji na kuongelea mambo ya kimataifa. Lakini wasio juwa makada wa CCM bado wanafikiria bunduki wakati wao wanatengenza nuklia. Mbinu wanazotumia watawala hazitawezekana.
Tujiulize kwanini serikali ya makaburu ya South Africa ilianguka ni mbinu hii ya nuklia yaani watu ndiyo wanakuwa na nguvu kiasi cha kuangusha uongozi na sio Chama pekee. Tanzania inaenda huko ndiyo maana kila siku Heche anafananisha south Africa na Tanzania. Serikali ya Samia ni kama ya makaburu.
Kwako mkata viuno Bora kabisa pale lumumba buku7fcnonsense 🐒
Haiwezekani , kumuua ni rahisi kuliko kufanya hiloLissu hatoki leo wala kesho. Wamemhurumia sana atapewa Life in Prison.
Sawa.Hapa umeandika nini mweshimiwa.
The so called tone tone sio kitu technical kiasi cha kuhitaji kutumia muda wangu kujifunza.
Wewe lazima ni mlugaluga na mporipori, huwa mnavamia kitu bila kusoma kwa ufahamuUbongo wako una kiasi kidogo sana cha ubongo unaofanya kazi, unasema watanzania milioni 70 waichangie Chadema, unajua ndani ya hiyo milioni 70 kuna watoto wangapi ambao umri wao upo chini ya miaka 18? Ndani ya hiyo milioni 70 kuna wazee wangapi ambao hawapo kwenye uzalishaji? Ndani hiyo milioni 70 haujui kuwa kuna CCM,chauma,act wazalendo na wa vyama vingine? Wote hao bila kujali umri wao au itikadi zao unawalazimisha wachangie Chadema 1000?
Siyo kila mada ni ya kuchangia,ni bora zaidi kusoma michango ya wenzako na ukajielimisha kuliko hicho ulicho andika na BAM yako.
Tatizo mkiambiwa ukweli mnaanza kuona kila anaewapa makavu ni CCMHoja yako ni nini hasa?
Na unataka kuilinganisha tonetone ya CHADEMA na nani au na kitu gani?
Waulize Simba Sports Club, kuwa pamoja na kuwa ni Club yenye wanachama mzuka mamilioni, iliwachukua muda gani kuchangisha TZS 100,000,000 tu..?
Na kwani ni nani kakuambia kuwa ukiwa na wanachama milioni 7 au 10 au hata 30 wote wanaweza kuchanga fedha kwa wakati kana kwamba umekusanya wanafunzi darasani na kuwaambia wote watoe 1,000..!?
People are living in isolation. Wengine pengine hawana hata taarifa kuwa kuna kitu kama hicho. Wengine ni wanachama wako lakini naturally huwa hawatoi pesa yao lakini ukiwaambia wakupigie kura, unazipata asubuhi tu..
Hata hivyo, CHADEMA kupata pesa hizi karibu TZS 300,000,000 ndani ya mwezi mmoja tu is not a joke. It's a sign of a big influence which CHADEMA imparts to people...
By the way, hivi Kuna wakati wowote CCM iliwahi kuanzisha mchango wa tonetone na ikapata pesa toka kwa mama lishe na wasukuma mkokoteni na walalahoi wengine iliyowatesa kwa miaka karibu 65 sasa.?
Unaelewa maana ya milioni 70 kuitumia kupata asilimia?Wewe lazima ni mlugaluga na mporipori, huwa mnavamia kitu bila kusoma kwa ufahamu
Mnakurupuka tu ndio maana mnajaza idadi ya vilaza wenye vyeti wasioajirika nchini na zaidi hamtakiwi popote kimataifa
Kati ya milioni 70, mmeshindwa kuwa na 300,000.
Unabwabwaja sijui wazee na watoto, rudia kusoma kilaza
300,000 ni asilimia 0.43% milioni 70, umesikia kilaza
300,000 x 1000(kila mmoja atoe buku), yaani hamna hata buku ?
Uhalisia ni kama hakuna watu 300,000 wa kuchangia chadema, maana yake hakuna wa kuipigia kura
Nonsensenonsense 🐒
1. Hakuna aliyekuambia wewe ni CCM ila una mtazamo na maoni ya ki CCM. So, you can be judged just like that..Tatizo mkiambiwa ukweli mnaanza kuona kila anaewapa makavu ni CCM
Nimesema hizi ni hisia na maoni yako tu na yatabaki hivyo kuwa ni maoni yako.Idadi ya watu nchini = 70,000,000
Idadi ya mikoa = 31
Hesabu za wastani lakini sio uhalisi tuseme kila mkoa una watu millioni 2,258,064
Kati ya hao milioni 2,258,064, chadema walihitaji wanachama 9500, ambayo ni asilimia 0.4%
Ina maana kila mkoa hakuna wanachama angalau asilimia 1% ya watu ni chadema ?
ambao kila mmoja atoe 1000, ambayo hata muuza nyanya, mama lishe na wasukuma mikokoteni hawakosi?
Are you sure?Hao CCM, kila mwanachama anachangia sh 100 kwa mwezi, ambayo ni 1200, kwa mwaka, kwahiyo hizo hela wanazipata kwa kutumia akili ya kurahisisha michango yao, ni mara ya kwanza mwaka jana ndio nimeona wameitisha harambee.
At least umekubali kuwa walikuwa na mchango huo lakini kwa maoni na mtazamo wako kumbe ni "wahuni" na "wapumbavu" tu, au siyo..?Simba hakukuwa na haja ya kuitisha michango, ni wapumbavu ndio walioleta huo ujinga, wakati mashabiki wanachangia kila mwaka kwenye tiketi za viingilio na ununuzi wa jezi, huyo aletisha michango ni mpuuzi ndio maana hakuna waliochangia.
Wewe ni kilaza wa hklUnaelewa maana ya milioni 70 kuitumia kupata asilimia?
Kama haujui hata hesabu za asilimia basi hauna kitu kichwani.
0.43% umeipata kutokana na 70,000,000 kama ni watu ambao wanaweza kuichangia chadema
Hahahahahaaaa!Vipi ile milioni 300 bado haijakamilika ?