Chadema wenatengeneza bomu la nuklia la kisiasa hawataweza kuzuilika tena

Ubongo wako una kiasi kidogo sana cha ubongo unaofanya kazi, unasema watanzania milioni 70 waichangie Chadema, unajua ndani ya hiyo milioni 70 kuna watoto wangapi ambao umri wao upo chini ya miaka 18? Ndani ya hiyo milioni 70 kuna wazee wangapi ambao hawapo kwenye uzalishaji? Ndani hiyo milioni 70 haujui kuwa kuna CCM,chauma,act wazalendo na wa vyama vingine? Wote hao bila kujali umri wao au itikadi zao unawalazimisha wachangie Chadema 1000?
Siyo kila mada ni ya kuchangia,ni bora zaidi kusoma michango ya wenzako na ukajielimisha kuliko hicho ulicho andika na BAM yako.
 
CHADEMA ni chaguo la Mungu Mkuu
 
Wewe lazima ni mlugaluga na mporipori, huwa mnavamia kitu bila kusoma kwa ufahamu
Mnakurupuka tu ndio maana mnajaza idadi ya vilaza wenye vyeti wasioajirika nchini na zaidi hamtakiwi popote kimataifa
Kati ya milioni 70, mmeshindwa kuwa na 300,000.
Unabwabwaja sijui wazee na watoto, rudia kusoma kilaza
300,000 ni asilimia 0.43% milioni 70, umesikia kilaza
300,000 x 1000(kila mmoja atoe buku), yaani hamna hata buku ?
Uhalisia ni kama hakuna watu 300,000 wa kuchangia chadema, maana yake hakuna wa kuipigia kura
 
Tatizo mkiambiwa ukweli mnaanza kuona kila anaewapa makavu ni CCM

Idadi ya watu nchini = 70,000,000
Idadi ya mikoa = 31
Hesabu za wastani lakini sio uhalisi tuseme kila mkoa una watu millioni 2,258,064

Kati ya hao milioni 2,258,064, chadema walihitaji wanachama 9500, ambayo ni asilimia 0.4%
Ina maana kila mkoa hakuna wanachama angalau asilimia 1% ya watu ni chadema ?
ambao kila mmoja atoe 1000, ambayo hata muuza nyanya, mama lishe na wasukuma mikokoteni hawakosi?

Hao CCM, kila mwanachama anachangia sh 100 kwa mwezi, ambayo ni 1200, kwa mwaka, kwahiyo hizo hela wanazipata kwa kutumia akili ya kurahisisha michango yao, ni mara ya kwanza mwaka jana ndio nimeona wameitisha harambee.

Simba hakukuwa na haja ya kuitisha michango, ni wapumbavu ndio walioleta huo ujinga, wakati mashabiki wanachangia kila mwaka kwenye tiketi za viingilio na ununuzi wa jezi, huyo aletisha michango ni mpuuzi ndio maana hakuna waliochangia.
 
Unaelewa maana ya milioni 70 kuitumia kupata asilimia?
Kama haujui hata hesabu za asilimia basi hauna kitu kichwani.
0.43% umeipata kutokana na 70,000,000 kama ni watu ambao wanaweza kuichangia chadema
 
Tatizo mkiambiwa ukweli mnaanza kuona kila anaewapa makavu ni CCM
1. Hakuna aliyekuambia wewe ni CCM ila una mtazamo na maoni ya ki CCM. So, you can be judged just like that..

2. Ulichokisema SI UKWELI bali NI MAONI YAKO na yatabaki hivyo na Mimi nayaheshimu kwa namna hiyo
Nimesema hizi ni hisia na maoni yako tu na yatabaki hivyo kuwa ni maoni yako.

But, don't worry. I respect them...
Hao CCM, kila mwanachama anachangia sh 100 kwa mwezi, ambayo ni 1200, kwa mwaka, kwahiyo hizo hela wanazipata kwa kutumia akili ya kurahisisha michango yao, ni mara ya kwanza mwaka jana ndio nimeona wameitisha harambee.
Are you sure?

Unajua kuwa Mimi ni mwanachama wa CCM na Nina kadi ya ki - electronic lakini sijawahi kuchangia hata shilingi..?
Simba hakukuwa na haja ya kuitisha michango, ni wapumbavu ndio walioleta huo ujinga, wakati mashabiki wanachangia kila mwaka kwenye tiketi za viingilio na ununuzi wa jezi, huyo aletisha michango ni mpuuzi ndio maana hakuna waliochangia.
At least umekubali kuwa walikuwa na mchango huo lakini kwa maoni na mtazamo wako kumbe ni "wahuni" na "wapumbavu" tu, au siyo..?

Na mwisho nakupa homework moja ili ukaifanye na kisha ulete majibu ili nikusahihishe..

Unaelewa maana ya tonetone?

Kuna siku CCM wamewahi kutangaza tonetone public halafu wakakupa mrejesho walipata ngapi?

Ndugu Makebo, usiwe mbinafsi, wapongeze na kubali tu kuwa CHADEMA wanakubalika kwa umma..

Na ishara moja iliyowazi ni tonetone hii na mikutano yao ya hadhara ambayo ni pure organic ya hadhara ikikusanya maelfu ya wananchi kusikiliza na baadae kutenda..

What else do you want as a proof..??
 
Unaelewa maana ya milioni 70 kuitumia kupata asilimia?
Kama haujui hata hesabu za asilimia basi hauna kitu kichwani.
0.43% umeipata kutokana na 70,000,000 kama ni watu ambao wanaweza kuichangia chadema
Wewe ni kilaza wa hkl
0.43% maana yake haijafika hata asilimia 1% ya milioni 70
haijalishi watoto na wazee ni wangapi

Na hata niseme nusu yake ni millioni 35, tutoe nusu yote kama wazee na watoto
300,000/35,000,000 x 100 = 0.8% bado haijafika asilimia 1%
Ina maana hakuna hata asilimia 1% ya chadema ndani ya milioni 35
 
Vipi ile milioni 300 bado haijakamilika ?
Hahahahahaaaa!
Mkuu hausahau!!! Wenyewe wamejazana kwenye kithread chao wakipeana moyo we umewaingilia, pigia mstari neno 'kuingilia', hukohuko. Dah🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…