CHADEMA wote wanajua kwamba CCM is the best political party in Africa

Niko tayari kubakia ccm mbovu kuliko kujiunga na upinzani tanzania. Najua ccm ina itikadi nzuri ujamaa na kujitegemea. Ni bora nifanye upinzani ndani ya ccm kuliko chadema maana najua kwa bahati nzuri naweza kupata kiongozi Mzalendo na mjamaa mwenye maarifa kama magufuli. Maadui wa maendeleo ya tanzania wote wako upinzani. Mabeberu wa magharibi ndio wanadhamini upinzani dhidi ya ccm ya kweli ya kijamaa.
 
Tanzania imara inajengwa na watanzania.
 
CCM inachukuliwa kama chama bora zaidi barani Afrika kutokana na historia yake ya kudumu madarakani, mchango wake katika ukombozi wa Afrika, ujenzi wa amani na umoja wa kitaifa, pamoja na kuimarisha uchumi wa Tanzania.
 
Chadema ni marafiki wa ccm, ni zao la ccm na wanaipenda ccm, mengine yote ni siasa kwa maslahi ya nchi au maslahi ya wanasiasa nje ya ccm.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…