CHADEMA ya Mbowe isiyokuwa na agenda maalumu na kutomaanisha wanachosema inapendeza kuwa upinzani sio Tawala mpaka ijitambue

CHADEMA ya Mbowe isiyokuwa na agenda maalumu na kutomaanisha wanachosema inapendeza kuwa upinzani sio Tawala mpaka ijitambue

Gift mzalendo

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2019
Posts
1,856
Reaction score
2,417
Naendelea kusisitiza tu hoja zangu
Kwamba Cdm ya Mbowe bado haimanishi kile inachisema

Walilalmika JPm kutaka kujiongezea muda wa uongozi huku Mbowe akibadilisha kipengele Cha ukomo na kumiliki Cha kisiasa Kama kampuni yake halisi

Walioinga ufisadi baadae wakampa uraisi waliyemuita fisadi mkuu

Wanasema Samia Must Go huku wakimwacha Mbowe kung'ang'ania madaraka ya uenyekiti tu wa chama
More than 20years

Baada ya plan ya Mbowe kufeli 2015 kwa kukitoa chama kwenye reli yake na kuliingiza kwenye pori la ufisadi
Alipaswa awajibike kwa niaba ya wenzake ili akiachie chama legacy yake

Lakini yeye kaamua chama kipoteze mvuto yeye ajisafishe

Mbowe alianza vizuri lakini Kuna uwekano akahiribu mwishoni kama wenzake kina Mrema Cheyo nk
 
Back
Top Bottom