CHADEMA ya sasa imekuwa kama Bongo Movies!

Chadema toka waamue kumpinga Magufuli kwa kila kitu ndiyo hapo walionekana hamna chama hapo ni genge tu la watu wenye mipango yao binafsi

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
1. hawaeleweki wanataka na wanasimamia nini kama yasivyoeleweka maudhui ya bongo movies!
mfano: kufeli kwa ukuta na ukusanyaji wa michango mbalimbali ya fedha kutoka kwa walalahoi

2. wamekuwa na vijikaulimbiu (slogans) viiingi visivyo na maana kama titles za bongo movies. baadhi ya vijikaulimbiu vyao ni kama vifuatavyo;
- m4c
- operation sangara
- mambo iko huku; taarabu imo (hii ilianza mara baada ya kumpokea wema sepetu😀😀😀)
- ukuta n.k

3. wamekuwa na tabia ya kuongezea vijikaulimbiu visivyo na maana juu ya vijikaulimbiu visivyo na maana pia kama ambavyo bongo movies wanagawa movies zao katika part A na B hata kama hakuna sababu.
mfano: ni hiyo join the chain ilivyozaa boots on the ground bila matumizi ya umri, elimu wala uzoefu!

4. wamekuwa na tabia ya wivu na kuchamba kama ambavyo kina aunt ezekiel, wema, mobeto, wolper na shishi wanavyochambana huko bongo movies.
mfano: kila siku ni kazi ya kumchamba na kumzushia zitto kabwe bila sababu. ukichunguza sana utakutana na sababu iliyojificha ya kuwa zitto si mburura kama wao.

5. wameingiliwa na ugonjwa wa kutumia maneno ya kiingereza katika vikaulimbiu vyao kama ambavyo bongo movies wanatumia maneno ya kiingereza katika titles zao.
mfano: join the chain
boots on the ground

na mengine mengi........

karibuni katika kuongeza mengine.
matusi nitaona kama kiyoyozi tu!!
Unaipenda sana CDM.Kwa ufuatiliaji huu ni bora ukachukue kadi mpya ya CDM.
 
1. hawaeleweki wanataka na wanasimamia nini kama yasivyoeleweka maudhui ya bongo movies!
mfano: kufeli kwa ukuta na ukusanyaji wa michango mbalimbali ya fedha kutoka kwa walalahoi

2. wamekuwa na vijikaulimbiu (slogans) viiingi visivyo na maana kama titles za bongo movies. baadhi ya vijikaulimbiu vyao ni kama vifuatavyo;
  • m4c
  • operation sangara
  • mambo iko huku; taarabu imo (hii ilianza mara baada ya kumpokea wema sepetu😀😀😀)
  • ukuta n.k

MIAKA 60 CCM INAJENGA MATUNDU YA VYOO AIBU
 
Hongera kwa kuzoea kufanywa matusi.
Wapi unapofanyia matusi hadi uone kama kiyoyozi?
 
Wenzenu wapo mitaani huko na join the chain nyie mmebaki kwenye mitandao kubwabwaja!!.. Wenzenu watawafikia watu wengi zaidi kuliko nyie?!!...Sasa hivi kila kitu mnaiga Tu wenzenu walikuja na Chadema digital mkaja hapa na vijembe haya na Nyie mmeanza digital kesho na Nyie muende Kwa wananchi mkasema mnafanya kupunguza gharama za maisha!!..
 
1. Hawaeleweki wanataka na wanasimamia nini kama yasivyoeleweka maudhui ya bongo movies!
mfano: kufeli kwa ukuta na ukusanyaji wa michango mbalimbali ya fedha kutoka kwa walalahoi

2. Wamekuwa na vijikaulimbiu (slogans) viiingi visivyo na maana kama titles za bongo movies. baadhi ya vijikaulimbiu vyao ni kama vifuatavyo;
  • m4c
  • operation sangara
  • mambo iko huku; taarabu imo (hii ilianza mara baada ya kumpokea wema sepetu😀😀😀)
  • ukuta n.k

3. Wamekuwa na tabia ya kuongezea vijikaulimbiu visivyo na maana juu ya vijikaulimbiu visivyo na maana pia kama ambavyo bongo movies wanagawa movies zao katika part A na B hata kama hakuna sababu.
mfano: ni hiyo join the chain ilivyozaa boots on the ground bila matumizi ya umri, elimu wala uzoefu!

4. Wamekuwa na tabia ya wivu na kuchamba kama ambavyo kina aunt ezekiel, wema, mobeto, wolper na shishi wanavyochambana huko bongo movies.
mfano: kila siku ni kazi ya kumchamba na kumzushia zitto kabwe bila sababu. ukichunguza sana utakutana na sababu iliyojificha ya kuwa zitto si mburura kama wao.

5. Wameingiliwa na ugonjwa wa kutumia maneno ya kiingereza katika vikaulimbiu vyao kama ambavyo bongo movies wanatumia maneno ya kiingereza katika titles zao.
mfano: join the chain
boots on the ground

Na mengine mengi.

Karibuni katika kuongeza mengine.
Mkuu mimi nidhani chadema imekufa kumbe bado ipo. Unajua hiyo buku7 unalipwa ajili ya uwepo wa chadema? Kuna mmoja alijiapiza kuiua Chadema ila ajabu akafa yeye. Pipozzzzzzz.... poweeeeeeeeeeeer
 
Wafa maji hawaishi kutapatapa,bakuli kwaajili ya mkutano mkuu hapo mtu fulani alimisi viyoyozi kwenye mahoteli makubwa hapo mkutano mkuu utashangaa unaenda kufanyika bahari beach resolt[emoji23] wakati wenzao walikuwa kwenye ukumbi wa chama wao kutwa kwenye mahoteli ya kifahari hamna chama kuna wala bata tu.
Kale bata na wewe kama utaweza, umasikini wako haujaletwa na Chadema bali Fisiemu
 
Mkuu mimi nidhani chadema imekufa kumbe bado ipo. Unajua hiyo buku7 unalipwa ajili ya uwepo wa chadema? Kuna mmoja alijiapiza kuiua Chadema ila ajabu akafa yeye. Pipozzzzzzz.... poweeeeeeeeeeeer
Kwani ipo hai kamanda?!!!!!
Au mnataka tutafsiri kifo Kwa tafsiri ya kitoto kabisa, Ile ya kueleweka na Hadi chekechea?
 
Wenzenu wapo mitaani huko na join the chain nyie mmebaki kwenye mitandao kubwabwaja!!.. Wenzenu watawafikia watu wengi zaidi kuliko nyie?!!...Sasa hivi kila kitu mnaiga Tu wenzenu walikuja na Chadema digital mkaja hapa na vijembe haya na Nyie mmeanza digital kesho na Nyie muende Kwa wananchi mkasema mnafanya kupunguza gharama za maisha!!..
Watawakuta wanakoenda kuibukia!
Hapo walipo wenzao walipita zamani saaaana!
 
MIAKA 60 CCM INAJENGA MATUNDU YA VYOO AIBU
Itakuwa aibu zaidi kujisaidia nje!
Halafu kujenga nchi yote hii si suala dogo......ukitaka kuthobotisha Hilo angalia chadema walivyishondwa kujenga ofisi Tu mpaka sasa!
 
tat

izo mwafadhiri wakitoa hela mbowe anakula hela za sabodo kala zote milioni mia moja
 
Back
Top Bottom