CHADEMA ya sasa imekuwa kama Bongo Movies!

CHADEMA limekiwa lichama la hovyo sana
 
Chadema toka waamue kumpinga Magufuli kwa kila kitu ndiyo hapo walionekana hamna chama hapo ni genge tu la watu wenye mipango yao binafsi

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Unaipenda sana CDM.Kwa ufuatiliaji huu ni bora ukachukue kadi mpya ya CDM.
 
MIAKA 60 CCM INAJENGA MATUNDU YA VYOO AIBU
 
Hongera kwa kuzoea kufanywa matusi.
Wapi unapofanyia matusi hadi uone kama kiyoyozi?
 
Wenzenu wapo mitaani huko na join the chain nyie mmebaki kwenye mitandao kubwabwaja!!.. Wenzenu watawafikia watu wengi zaidi kuliko nyie?!!...Sasa hivi kila kitu mnaiga Tu wenzenu walikuja na Chadema digital mkaja hapa na vijembe haya na Nyie mmeanza digital kesho na Nyie muende Kwa wananchi mkasema mnafanya kupunguza gharama za maisha!!..
 
Mkuu mimi nidhani chadema imekufa kumbe bado ipo. Unajua hiyo buku7 unalipwa ajili ya uwepo wa chadema? Kuna mmoja alijiapiza kuiua Chadema ila ajabu akafa yeye. Pipozzzzzzz.... poweeeeeeeeeeeer
 
Kale bata na wewe kama utaweza, umasikini wako haujaletwa na Chadema bali Fisiemu
 
Mkuu mimi nidhani chadema imekufa kumbe bado ipo. Unajua hiyo buku7 unalipwa ajili ya uwepo wa chadema? Kuna mmoja alijiapiza kuiua Chadema ila ajabu akafa yeye. Pipozzzzzzz.... poweeeeeeeeeeeer
Kwani ipo hai kamanda?!!!!!
Au mnataka tutafsiri kifo Kwa tafsiri ya kitoto kabisa, Ile ya kueleweka na Hadi chekechea?
 
Watawakuta wanakoenda kuibukia!
Hapo walipo wenzao walipita zamani saaaana!
 
MIAKA 60 CCM INAJENGA MATUNDU YA VYOO AIBU
Itakuwa aibu zaidi kujisaidia nje!
Halafu kujenga nchi yote hii si suala dogo......ukitaka kuthobotisha Hilo angalia chadema walivyishondwa kujenga ofisi Tu mpaka sasa!
 
tat
Itakuwa aibu zaidi kujisaidia nje!
Halafu kujenga nchi yote hii si suala dogo......ukitaka kuthobotisha Hilo angalia chadema walivyishondwa kujenga ofisi Tu mpaka sasa!
izo mwafadhiri wakitoa hela mbowe anakula hela za sabodo kala zote milioni mia moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…