Uchaguzi 2020 CHADEMA yaahidi kumtunza Dkt. Magufuli kama Rais Mstaafu

Uchaguzi 2020 CHADEMA yaahidi kumtunza Dkt. Magufuli kama Rais Mstaafu

Mgombea urais wa CCM Mpya anahusudiwa sana na wanaAfrika kwa mujibu wa wenzetu UVCCM na wageni ktk nchi za mbali.

Akiwa mstaafu atasimulia makubwa ya kuigwa aliyofanikiwa kuyafanya katika kipindi chake chake kifupi urais cha miaka 5 kabla ya kustaafu. Huku tunafahamu kuna marais wengine walichaguliwa na kudumu miaka 10, 15 , 24, 38 au 41 madarakani lakini hawajaweza kufanya makubwa kama ya mstaafu wetu wa awamu ya 5.

Atapata muda wa ziara nyingi za mialiko kufanya mihadara ktk makongamano nje ya nchi na vyuo vikuu tajwa duniani kuhusu mafanikio yake ktk Maendeleo ya Vitu, kupiga vita rushwa na kusukuma miradi mikubwa bila kucheleweshwa au kusikiliza maoni ya wananchi , wadau wa maendeleo au bunge kiasi ya kuwa miradi hiyo kama flyovers, SGR reli, ndege za ATCL , madaraja yanayokatiza rasi za bahari ya Hindi na rasi ya ziwa Victoria kutamaniwa ingefanyika ktk nchi hizo za nje.
 


Marais wastaafu waliomtangulia Rais John Magufuli kama Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kustaafu kwa heshima zote stahiki ni:
  • Julius Nyerere 1961 - 1985
  • Ali Hassan Mwinyi 1985 - 1995
  • Benjamin W. Mkapa 1995 - 2005
  • Jakaya Kikwete 2005 - 2015
Magufuli 2015 - 2025
 
Mgombea urais wa CCM Mpya anahusudiwa sana na wanaAfrika kwa mujibu wa wenzetu UVCCM na wageni ktk nchi za mbali.

Akiwa mstaafu atasimulia alivyofanikiwa kuyafanya katika kipindi chake cha urais cha miaka 5.

Atapata muda wa ziara nyingi za mialiko kufanya mihadara ktk makongamano nje ya nchi na vyuo vikuu tajwa duniani kuhusu mafanikio yake ktk Maendeleo ya Vitu, kupiga vita rushwa na kusukuma miradi mikubwa bila kucheleweshwa au kusikiliza maoni ya wananchi , wadau wa maendeleo au bunge kiasi ya kuwa miradi hiyo kama flyovers, SGR reli, ndege za ATCL , madaraja yanayokatiza rasi za bahari ya Hindi na rasi ya ziwa Victoria kutamaniwa ingefanyika ktk nchi hizo za nje.
Tena akashinda kwa kishindo kuongoza SADC
 
Kuna watu mafala sana. Like seriously!! Lissu hatakiwa raisi wa Tanzania ever.
 
Wa
Labda angeongelea kumtunza Mbowe Kama atastaafu uenyekiti angekuwa anaongelea Jambo linalowezekana, Sasa Chadema kumtunza mwenyekiti wa CCM wapi na wapi?
Wafuasi wa Nikolai cheusesku pia hawakuamini kwamba anguko la bwana wao lingekuja Kama mwewe.
 
Bucharest. Romania. Miradi mikubwa ya rais Nicolae Ceaușescu. Ikiwemo ikulu kubwa kupita zote, jumba kubwa la Bunge n.k

 
Magufuli 'aisifia' Ikulu anayokaa ya Chamwino Dodoma/ 'Kubwa kuliko zote Duniani'
 
IKULU INAYOJENGWA CHAMWINO DODOMA, INAWEZA KUWA MIONGONI MWA IKULU KUBWA DUNIANI TAZAMA
Katika muonekano wa 3D
Barabara ndani ya ikulu kuwa na urefu wa kilometa 68.5 za lami, Ukuta kuzunguka Ikulu ni kilometa 27, Zoo ya wanyama kilometa za mraba 25 n.k

 

Attachments

  • IMG-20200918-WA0005.jpg
    IMG-20200918-WA0005.jpg
    17 KB · Views: 1
Lissu abarikiwe kwa moyo wa kuona haina sababu kuwa na kinyongo.
Kwa hiyo Hilo limo kwenye sera ya Chadema?


Tatizo la Chadema safari hii mtu wenu haongelei sera Yuko tu anaongea vitu vya vijiweni

Hajielewi matunzo ya viongozi wakuu wastaafu yako kwenye sheria Sio hisani ya chama au mtu ni sawa na ajiongea kusema mfanyakazi wa serikali akistaafu chama chake kitampa pension!!!!

Lisu anaonyesha kakata tamaa sera anaona wananchi hawazipokei kaamua kuuza vichekesho kwenye mikutano ya kampeni very sad .Muda unaendelea kuyoyoma yeye bado Yuko kwenye vituko tu hanadi sera kuta mcost CCM tuko serious tukipita hayo maeneo hatuna vichekesho we mean business

Anyway Mbowe please Kama anatumua ruzuku kuzunguka nakuomba usimpe Tena zigawe majimboni kwa wagombea ubunge ziwasaidie lakini Kama anatumua pesa zakevmwache aziteketeze Sababu Ni za kwake Haina shida.

Ila Kama Ni za chama their is no value for money Hadi Sasa mnapoteza pesa zenu Bure objective ya kunadi sera haijafikiwa Hadi Sasa.Wananchi wanajitahidi kufika kwa wingi kusikiliza sera lakini wanatoka hamna kitu hamwatendei haki Kama chama .

Huo umati msidhani Ni wajinga wengi wako serious wanataka kusikia sera .Wengi Sasa hivi wamesoma Hadi secondary kutokana na elimu ya Bure na uwepo wa shule za secondary Kila kata Wana uelewa Issue si watu kuwepo mikutanoni issue Ni wanaondoka na sera ipi kwenye mkutano waluzozisikia?

Ili wakawaeleze wengine hebu fukiri Wana tatizo la dispensary wanaenda mkutano wa Lisu Lisu anawaambia akishika atamtunza Raisi Mstaafu!!!! Chadema jipeni wenyewe mtu wenu Sio presidential material
 
Back
Top Bottom