Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Kwa hiyo Hilo limo kwenye sera ya Chadema?
Tatizo la Chadema safari hii mtu wenu haongelei sera Yuko tu anaongea vitu vya vijiweni
Hajielewi matunzo ya viongozi wakuu wastaafu yako kwenye sheria Sio hisani ya chama au mtu ni sawa na ajiongea kusema mfanyakazi wa serikali akistaafu chama chake kitampa pension!!!!
Lisu anaonyesha kakata tamaa sera anaona wananchi hawazipokei kaamua kuuza vichekesho kwenye mikutano ya kampeni very sad .Muda unaendelea kuyoyoma yeye bado Yuko kwenye vituko tu hanadi sera kuta mcost CCM tuko serious tukipita hayo maeneo hatuna vichekesho we mean business
Anyway Mbowe please Kama anatumua ruzuku kuzunguka nakuomba usimpe Tena zigawe majimboni kwa wagombea ubunge ziwasaidie lakini Kama anatumua pesa zakevmwache aziteketeze Sababu Ni za kwake Haina shida
Ila Kama Ni za chama their is no value for money Hadi Sasa mnapoteza pesa zenu Bure objective ya kunadi sera haijafikiwa Hadi Sasa.Wananchi wanajitahidi kufika kwa wingi kusikiliza sera lakini wanatoka hamna kitu hamwatendei haki Kama chama .Huo umati msidhani Ni wajinga wengi wako serious wanataka kusikia sera .Wengi Sasa hivi wamesoma Hadi secondary kutokana na elimu ya Bure na uwepo wa shule za secondary Kila kata Wana uelewa Issue si watu kuwepo mikutanoni issue Ni wanaondoka na sera ipi kwenye mkutano waluzozisikia? Ili wakawaeleze wengine hebu fukiri Wana tatizo la dispensary wanaenda mkutano wa Lisu Lisu anawaambia akishika atamtunza Raisi Mstaafu!!!! Chadema jipeni wenyewe mtu wenu Sio presidential material