Uchaguzi 2020 CHADEMA yaahidi kumtunza Dkt. Magufuli kama Rais Mstaafu

 
Sema akijaribu upuuzi huo wa wizi, atatusababishia turudie uchaguzi kwa amri na chini ya usimamizi wa vyombo vya kimataifa kama hiyo mahakama ya kimataifa.

Kosa kubwa ambalo tayari wamelifanya ni kuwaengua wapinzani bila kuengua mccm hata mmoja kwenye uchaguzi huu. Hiyo ni indicator mbaya na ni ushahidi tosha kuwa jamaa na serikali yake ya ccm ni kandamizi kama siyo dikteta.
 
Mumpe na Mwanamke mweupe aondoe stress.
 
Labda angeongelea kumtunza Mbowe Kama atastaafu uenyekiti angekuwa anaongelea Jambo linalowezekana, Sasa Chadema kumtunza mwenyekiti wa CCM wapi na wapi?
Jiwe Ni raisi wa nchi akistaafishwa 2020 anastahili stahiki zake.Siasa sio uadui.Lazima kuwe na siasa za maridhiano ili Taifa lisonge!
 
Hizi ndio mbinu za kuepuka ndoto mbaya usiku😂😂😂
 
Ukitaka kujibiwa na kila mtu rahisi tu mfano tukana kiongozi wa familia utajibiwa na kila mwanafamilia negativly na utachukiwa na kila mwanafamilia Sasa Kama huko unajiona Ni Jeshi la mtu mmoja unajisifia sawa lakini hapo ujue unapoteza kura za familia kwa kutukana kiongozi wa familia na uko kipindi Cha kutafuta kura kutoka kila Kona ikiwemo familia ya CCM!!! Ambayo ndio kubwa kuliko familia ya chama chochote!!!
We
Anyway sidhani Lisu Yuko serious kutafuta kura za Uraisi ndio maana kumuepusha ba attacks nashauri Tena ajikite kwenye sera sababu kwenye sera mtu atatakiwa ajibu kuhusiana na sera Sio mtu
Lisu anaonyesha kaingia kupambana na Magufuli as individual hakuingia ili Sio aiondoe CCM madarakani iwekwe Chadema la!!! Yeye aliomba hiyo platform apambane na Magufuli!!!! Uchaguzi Ni zaidi kuondoa chama na kuweka chama Sio vita na mtu!!!

Platform ya ugombea uraisi anaitumia kupambana na Magufuli zaidi badala ya kueleza sera za chama.Chadema hivi hamna mtu waku mu direct huyu mgombea wenu arudi kwenye kunadi sera? Muda unayoyoma hivyo.Mimi naona Yuko loose anatumia tu platform na majukwaa kuporomosha Matusi tu kwa Magufuli !!Hana issue za wananchi.Chadema poleni

Lisu kageuka kuwa mchekeshaji yaani commedian kwenye majukwaa ya kampeni
 
Kwani ahadi za teuzi na kugawa vyeo kwenye kampeni ndiyo sera za CCM?
 
Majuha yakijifariji
Lissu mwenyewe anajua hashindi,ndio maana hata Mbowe amemuacha apambane na hali yake
 
Kuna watu mafala sana. Like seriously!! Lissu hatakiwa raisi wa Tanzania ever.
Labda Rais wa saccos pale Ufipa. Watanzania hawawezi fanya kosa kubwa kama hilo. Tanzania ya kijani, chini ya JPM.
 
Hamna namna mwache astafu2 arud chato kuchunga mbuzi
 
Mnafikiri huyo ni mtoto haoni mbele?, yaani mtu Lissu anayeamini amepigwa lisasi na Magu halafu amlinde. Lissu akipita anaweza ita watu uwanja wa mkapa waje washuhudie jamaa anavyochezea vitasa
 
You guys hata uwakika wakupata wabunge 20 hamna afu mnafikiria kuiongoza nchi kweli.?
Mnashindwa kutoa support ili mpate wabunge wengi mnabaki na kuamini katika nyomi.
Lowasa had more than those people kwenye kila mikutano yake... Mnajipa moo sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…